Jamani mizinga (kuchuna) inapunguza mapenzi

Kabisa Mdogo Mdogo Nakimbia Mana Kiwanja Hata Msingi Hauna Tofali Hata Moja
 
Mapenz siku hzi yamekwisha kabisa wanawake wameweka pesa mbele ndo kila kitu kuliko uthamin wa mtu waliye naye, ndo maana sometimes huwa nasemaga siku kuna wanawake wengi wanaojiuza wa aina 2, wle wabaosimama bararbarani na hwa waliopo majumban kwetu, yaan ni heri uende ambiance na 20000 unakamta toto safi kuliko kumpa 70000 ya wigi demu goigoi halafu bdo anakitoa kwa wengine, sa so umalya hyo? UBWEGEEEEE HUOOOOOOO
 
Si Unajua Ukishamganda Mtu Na Kuzama Na Yeye Sasa Anajinyakulia Advantage Hiyo Ya Kukuchuna Mana Umependa
 
Kweli Watupunguzie Mizinga na Wajue hawapo peke yao Wapo kama Watano (5)...kwahiyo wapige mizinga kwa utaratibu maalumu.... Sio wa kukomoana.
 
Back
Top Bottom