Jamani mizinga (kuchuna) inapunguza mapenzi

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,182
Reaction score
11,779
Wanadada punguzeni mizinga isiyo ya lazima.Mtu hamjaoana lakini hela anazoomba ni zaidi ya mke wa ndoa.Anakutajia shida lundo we kama babake.

Weaving 50,000,nguo yangu ipo kwa fundi 80,000,nimechoka simu ya batani nataka huawei y 360 180,000.Beby Weekend tunakichen part nitoe 20,000 ya zawadi.

Jamani haya ni mapenzi au biashara?
 
Inategemea ila wazee pesa lazima utoe coz usipotoa kuna wanaotoa kama hawana akil nzuri so ukijibana looool unaumbuka ___-- Yaani hakuna jinsi utatoa tu ___ Ila kama ni mtu akupendae atahitaji pesa kwa kaz ya maana sio kichen Party ---- Na kama huna sunamwambia ukweli ?? Af sinibora anekwambia 50000 kuna wanokutokea macho makav anataka I S T au 3ml af hacheki mkav machoni balaa
 
Na Pia Uombe Kutokana Na Kipato Cha Mpenzi Wako.Anayeomba Gari Anajua Unalo.Mie Sina Hata Basikeli Afu Unaomba Toyota IST unanikomoa au?
 
Inategemea ila wazee pesa lazima utoe coz usipotoa kuna wanaotoa kama hawana akil nzuri so ukijibana looool unaumbuka ___-- Yaani hakuna jinsi utatoa tu ___ Ila kama ni mtu akupendae atahitaji pesa kwa kaz ya maana sio kichen Party ---- Na kama huna sunamwambia ukweli ?? Af sinibora anekwambia 50000 kuna wanokutokea macho makav anataka I S T au 3ml af hacheki mkav machoni balaa
Kutoa kwa radhaa ina raha yake!!! Tena siyo kila mzinga unaliza....!
 
Pesa Unatoa Mzazi Ila Nao Wanatakiwa Wafanye Kazi Wajitegemee Kiaina We Unajazia Tu
 
Wanadada Punguzeni Mizinga Isiyo Ya Lazima.Mtu Hamjaoana Lakini Hela Anazoomba Ni Zaidi Ya Mke Wa Ndoa.Anakutajia Shida Lundo We Kama Babake.Weaving 50,000,nguo Yangu Ipo Kwa Fundi 80,000,nimechoka Simu Ya Batani Nataka Huawei Y 360 180,000.Beby weekend tunakichen part nitoe 20,000 ya zawadi,jamani haya ni mapenzi au biashara??

"Kula uliwe".

Baada ya gharama zote hizo sasa subiri na UKIMWI.
 
Lol wanasema pesa ya mpenzi tam so wewe na yeye tu sasa ____- Usibane sana utampoteza be open
 
Wanadada Punguzeni Mizinga Isiyo Ya Lazima.Mtu Hamjaoana Lakini Hela Anazoomba Ni Zaidi Ya Mke Wa Ndoa.Anakutajia Shida Lundo We Kama Babake.Weaving 50,000,nguo Yangu Ipo Kwa Fundi 80,000,nimechoka Simu Ya Batani Nataka Huawei Y 360 180,000.Beby weekend tunakichen part nitoe 20,000 ya zawadi,jamani haya ni mapenzi au biashara??

hata mke asipokupiga mizinga ujue ana mchepuko anaoupiga mzinga.......tia akili
 
Mizinga Ya Mkeo Haiumi Mana Ni Mkeo.We Mtu Ni Demu Lakini Anazidi Walioolewa
 
Wanadada Punguzeni Mizinga Isiyo Ya Lazima.Mtu Hamjaoana Lakini Hela Anazoomba Ni Zaidi Ya Mke Wa Ndoa.Anakutajia Shida Lundo We Kama Babake.Weaving 50,000,nguo Yangu Ipo Kwa Fundi 80,000,nimechoka Simu Ya Batani Nataka Huawei Y 360 180,000.Beby weekend tunakichen part nitoe 20,000 ya zawadi,jamani haya ni mapenzi au biashara??

"Kula uliwe".

Baada ya gharama zote hizo sasa subiri na UKIMWI.

FaizaFoxy umenena vema kabisa. Maana hawa mabinti wa dezaini hiyo unaweza kukuta mko hata watano mnaochangishwa kwa staili hiyo tena nyote kwa wakati mmoja na kila mmoja kwa time yake.
 
Na wanaume wengi wenzako wanawapenda sana hao wapiga mizinga.
 
Wapiga Mizinga Wanafaida Gani Hawa Mufilisi Type
 
Nifan, miss chaga, rubii, Evelyn Salt, njooni mnifundishe kupiga japo vimzinga vidogovidogo , mi nashindwaga kuomba hata vocha huu ni ulemavu aisee

nnavyoona nyuzi watu wanaomba hela huku kwanza mi nawazaga mmmh cjui nayeye kaishiwa..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom