kichwadongo
Senior Member
- Sep 6, 2013
- 136
- 16
Una ndege wewe,,, chakufanya achana na mapenzi,,,
Mbona na mi mpole lakn nmega kama kawa!!!!!
Mbona na mi mpole lakn nmega kama kawa!!!!!
Kutongoza ni fani inayowashinda wengi....
Tatizo lako unachagua matawi ambayo siyo yako. Wewe uwezo wako Escudo Unaenda Kuchagua Prado. Huoni kuwa unavaa viatu visivyokutosha?
Mkuu labda niwe sijakuelewa. Legs how?[/QUOTE
Huenda una weak personality ambayo haiendani na quality/class ya wasichana unaowapenda. Hao wanaojileta wenyewe ndio saizi yako.
wape darasa!!! Hawajui kuzeveza vijana!!
mi naona kama utulie na uache zinaa kwa muda wkt unajitafakari labda ukirudi utakuwa mpya na utapendwahabarini wana mmu.
Katika kujitafiti nimegundua nina tatizo ambalo silielewi. Tatizo lenyewe ni hili:
Kila mwanamke ninayemtongoza simpati anaishia kunitolea nje. Na kama tulikua na urafiki wa kawaida na wenyewe unakufa. Hata hivyo mwisho wa siku bila kuelewa imekuaje kuaje najikuta nina mpenzi ambaye sijamtongoza.
Katika hao ambao nawapata bila kuwatongoza wengi wao ni marafiki wa wale watongozwa. Yaani shabaha inamkosa mhusika na asiyehusika najikuta tu nipo naye.
Wakati nafikiria labda ni hisia zangu tu kwamba ninayemtaka simpati, mwaka jana nilikutana na dada mmoja skype na sijui ilikuwaje kuwaje hadi akawepo kwenye list ya friends wangu. Tulikuwa tukichat sana hadi akiniaga nasikitika. Baadae tulikuja kukutana millenium tower. Tukaongea sana na kucheka cheka kama machizi. Mwisho wa siku nikaingizia mada ya uhusiano nayo ikaua urafiki hadi leo. Kwa kweli iliniuma sana maana sio siri nilimpenda hadi basi. Mpaka leo siamini kweli kama imetokea. Japo nina mpenzi mwingine ki ukweli haipiti siku bila kumuwaza. Naangalia picha zake alizowahi kunitumia whatsap na facebook..nabaki kuumia tu moyoni.
Huyu ni habari ya siku za usoni, lakini nyuma yake kwa vipindi tofauti imekuwa ikitokea hivi hivi..ninayempenda kweli kweli simpati. Na hao wengineo imekuwa ni migogoro tuu kwa kuwa upendo ule wa dhati nakuwa sina..ila huwa najipa moyo kwamba mbele ya safari nitafall deeply kitu ambacho hakitokei.
Jamani nifanyeje? Hii ni my real personal life.