Mfalme Akili
Member
- May 28, 2017
- 88
- 55
- Thread starter
-
- #101
Aiseee nimeipata point yako mzeeUache kujipendekeza Kwa Mademu. Wanawake ukijipendekeza umejichimbia kaburi.
Tabia ya wanaume wanaojipendekeza ni kama;
1. Kulalamika lalamika kila mara.
2. Kumshobokea demu kila muda yaani wewe ndio unajipendekeza kupiga simu na kutuma text wakati demu yeye Hana habari.
3. Kumsifia sifia na kujiliza liza kama jike. Mara oooh mbona unatumika, mbona hujibu text zangu na blah blah kibao.
4. Kuwa na kademu kamoja kama mke wako. Kijana lazima uwe na vidosho hata vitano. Ukiwa navyo hivi huwezi kuleta mada za namna hizi huku.
We unafikiri demu gani atakubali kuwa na mwanaume aliye-single. Mademu hupenda kusikia wasifu wako unaokutambulisha kama mwanaume rijali. Na urijali ni nini kama si kuwa na mademu wengi.
Uache kujipendekeza Kwa Mademu alafu uje kunambia
Ur welcomeMh asante
Wewe wasema. Asante piaMwanaume maelezo mengiii usikute hujui kuto.mba
Pole kwa yaliyokupata na hongera kwa ulipo hivi sasa, hii imenipa matumaini.Mimi siku niliyokwenda kutoa mahari nikaulizwa we ndo mwenye ujauzito? Basi nililia Sana lakini Bibi yangu alinitia moyo na kuniambia wazuri bado wanazaliwa wengi na sasa Ninaye mzuri kushinda Yule kwa vyote na moyo wangu umetulia na
Labda uumbe wako, ila ukiwekeza kwenye mapenzi Jiandae tu kuumizwaHapana nimetokea moshi ndugu, kwaiyo haiwezekani kua na mwanamke wa peke yangu?
Duuuuh sasa kwani nyie mabinti kutulia na mtu mmoja hamuwezi? mmepatwa na nini?Labda uumbe wako, ila ukiwekeza kwenye mapenzi Jiandae tu kuumizwa
UbarikiweEvery cause serves a purpose. Usijutie na wala sioni kama una mapungufu. It's a matter of time utapata wa kwako.
Vita ya madawa ya kulevya haiwezi kukuacha salamaDuuuuh sasa kwani nyie mabinti kutulia na mtu mmoja hamuwezi? mmepatwa na nini?
Unamanisha nini?Vita ya madawa ya kulevya haiwezi kukuacha salama
Duuh asante sana mkuuNdg yangu pole sana tena sana kutoa Mali si hoja mm mali imeludishwa na ndoa ilitakiwa kufungwa tarehe 28/6/2017 niliumia sana ila ilifika wakati nikawa na maamuzi na pia nilijiuliza maswal haya
1..kwanini niumie je? ndiyo yy pekee hapa duniani?
2..kwanini hili swala limetokea mungu kaniepusha na nini?
3..nikijiuwa au nikiwamrevi wa kupindukia faida itakuwa kwa nani?
4..kwanini niendekeze mapenzi yanafaida gani kwangu na kwa nini nalazimisha vitu ambavyo mungu ajapanga kwann?
Baada ya kupata hayo majibu tokea siku hyo mpaka leo cjawahi kumfikilua kiumbe kinachoitwa mwanamke, sio kwamba nimewachukia hapana ila ikifika muda mungu atafungua njia
Cha kukushauri ww mwanaume cha kufanya angalia maisha yako hyo mimba icwe kigezo cha kukuwazisha eti mimba acha ajifunguwe itajulikana kuwa mwanaume na mwenye maamuzi mazito ya kiume.
HahaaaaaaaaaMimi ungenielekeza huko Gym,unapofanyia mazoezi nami niwe na body yenye mvuto kama wewe!
Mhmmh kurudishiwa mahari sidhani kama ni busara, ndo nipo natafakari jinsi ya kufikisha taarifa japo binti ameniomba sana nisiseme kwao, amelia sana machozi hayakauki. Najikuta naingiwa na huruma saa nyingine.
amesema anaingiza sh ngapi kwa siku? ni hapo tu nimeonaJipe breki kwanza jikeep busy na mishe zako usisahau kumshirikisha Mungu kuhusiana na swala lako
Ni mapito tu hizo pombe usinywe tena maana hazisaidii kitu
Ni swala la muda kila kitu kitakua sawa tu kwa muda sahihi uliopangiwa