Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,755
- 25,388
Don't hunt what you can't kill.
Mzee wewe ni genius!
Don't hunt what you can't kill.
Hakuna kinacho shindikana chini ya jua mkuu. Na huo ni mtazamo wako tu.
Mbona kama vile pua yake imepata ajali hivi au imeng'atwa na nyuki? wa kawaida sana huku kwetu mjini.
Kuna vitu vinashindikanaga.
Kama yule mtoto wa Obama siulishindwa kuuteka moyo wake?
Mh Rais mtarajiwa huyo atafaa sana kuwa first Lady
Mbona mmemshambulia Deogratius kwa hasira wakati mwenzenu kampenda mtoto mkali?
Jaribu bahati yako. Litakalojiri huko utupatie mrejesho.
Kweli, huyo binti ni mzuri sana.
Jiandae kwa ushindani mkubwa dhidi yako.
Muibukie Zanzibar kwenye kiwanda chake, mbona sikuhizi mambo yamejirahisisha sana. Jiongeze fasta
Usije kuta Helen mwenyewe anayetajwa na Mr Deo hapo ndio wewe😀Deo unajua vitu vizuri vizuri
Huyu dada ni moja kati ya hustlers wa kuigwa mfano...
Ukisoma/akikusimulia historia yake unaweza ukaishia kulia lakini ndio njia ya mafanikio...
Historia ya mwanamke mzuri huwa hainistui.Huyu dada ni moja kati ya hustlers wa kuigwa mfano...
Ukisoma/akikusimulia historia yake unaweza ukaishia kulia lakini ndio njia ya mafanikio...