mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,955
- 43,388
SafiAnapenda anacho feel.
SafiAnapenda anacho feel.
Mkuu sasa wataka kumwachia mbegu name Huyu Kama Wale wazaz wenzio
Hata mimi nimeshangaa. Huwa anaibua thread halafu anatokomea. Mara chache sana anajibu. Na akijibu, anajibu madem tu.
Chokonoa chokonoa yaje yakukute ya Babu Seya,
Umuone kifaranga amepanda juu ya pipa halafu unakimbilia manati.....!
mtungie nyimbo Masqo
Kumpenda mtu ambaye siyo type yako ni sawa na kusubiri nguruwe msikitini.

Haya bhana Deo,Hakuna kitu kama hicho babu seya alichezewa kijinga tu, Mimi mtoto wa mjini mkuu. Sitishiki na mamlaka.
hakika itapendezaNimesha mwandalia "A woman in my life" itakuwa katika mtindo wa RNB na iko kwa kiingereza mwanzo mwisho.
Hivi Deo bado hujaoa?!
Na maria obama humtaki
We deo hujaoa tu
Haya bhana Deo,
Disemba hii ndo ulitakiwa uchakalike ili uanze mwaka mpya na kitu roho inapenda!