huh! moyo unapitishwa kwenye sehemu ya siri? ................so unavutwa kutoka moyoni hadi huko kwanza au?
hata nashindwa kuelewa mbona
matukio mengi sana ya ajabu mkoa wa mbeya yalianza miaka mingi sana, leo yanajulikana kwa sababu ya media. wazee wanasema ni matukio ambayo hufanywa na watu kutoka nchi jirani.
Habari za watoto wa kike kuuawa kikatili huko Mbeya zinatisha. Kuna jamaa alinambia hiyo hadithi juzi lakini sikuamini. Alisema watoto 7 wa kike walikuwa tayari wameuawa baada ya kubakwa. Na Kwamba wauaji walikuwa wanachukua moyo wa kila mtoto baada ya kumuua, tena kupitia kwenye sehemu zake za siri. Sikuamini hadi jana niliposikia kwenye TBC1. Huko Mbeya nadhani kuna tatizo kubwa zaidi ya tunavyoelewa. Vinginevyo unaweza vipi kuamini hadithi kama hiyo?

hiyo ni "signature move" ya watu wasiojulikana. inaonekana walianza kitambo kifanya activities zao huko mbeyaMiaka ya nyuma nlikaaga mby kuna jamaa walikuwa wanaitwa"wanyambuda walikuwa wanachuna ngozi watu na kuwangoa kucha....vp Wana mby bado watu hao wapo
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app