Jamani Maulid Said Mtulia ana matatizo gani?

a6a226d075214ebee5b9fbae5f941a5d.jpg
:D:D:D
 
Ndo walivyokubaliana na ccm.ahame watampa tena nafasi.
hizi ni akili za ABUNUASI.
 
Majitu majinga kama haya inabidi itungwe sheria kali kabisa itakayowekwa kwenye makosa ya uhujumu uchumi ili yasiendelee kujitokeza kwenye siasa za nchi hii, maana bila kufanya hivi kwa aina za siasa hizi za kishamba zinazoratibiwa na ccm taifa hili litaendelea kupukutisha mabilioni ya pesa kiholela huku hospital hazina dawa

Sio kosa lake

Kosa ni ujinga na upumbavu wa wananchi bado wako isongizini totorooo

Wacha wakamuliwe
 
Majitu majinga kama haya inabidi itungwe sheria kali kabisa itakayowekwa kwenye makosa ya uhujumu uchumi ili yasiendelee kujitokeza kwenye siasa za nchi hii, maana bila kufanya hivi kwa aina za siasa hizi za kishamba zinazoratibiwa na ccm taifa hili litaendelea kupukutisha mabilioni ya pesa kiholela huku hospital hazina dawa
Tuwalaumu waliompokea na kukumpa fursa ya kugombea tena. Hao ndo hasa hawana uchungu na nji hii. Halafu wanatwambia tukisema vyuma vimebana tukamatwe.
 
Majitu majinga kama haya inabidi itungwe sheria kali kabisa itakayowekwa kwenye makosa ya uhujumu uchumi ili yasiendelee kujitokeza kwenye siasa za nchi hii, maana bila kufanya hivi kwa aina za siasa hizi za kishamba zinazoratibiwa na ccm taifa hili litaendelea kupukutisha mabilioni ya pesa kiholela huku hospital hazina dawa
Inclusive Nyalandu L.
 
Alikua mwalimu wangu huyu pale alfarouq, kipndi hicho akili zake zlikua nzur sana ila sasa hv ananipa wasiwasi.
 
Hivi hii ni akili kweli au kupoteleza pesa bure ili hali vyuma vinabana na Wananchi wana shida, kero na matatizo mbali mbali yanayotukabili.

Eti Maulid Said Mtulia anajiudhulu UKAWA Ubunge anahimia CCM nafasi hiyo hiyo ya Ubunge na jimbo hilo hilo la Kinondoni.

Mi ni mmoja wa waliompigania kura na kusimamia haki kupitia Ukawa mpaka akashinda tena bure bila malipo nikishirikina na Washikaji zangu leo jamaa amesahau utu wetu maumivu yetu na jasho la kukutetea haki mpaka kuipata nafasi ya Ubunge Cuf eti anatuchezea akili nakurudi tena upande wa pili akidai tena apigiwe kura.

Mungu anamuonaaa..hapa duniani na kesho akhera ajiandae akumbuke sisi sio wafanyama tulioumia na kujitoa kwa ajili yake mpaka kukaa kiti cha Mfalme nakituchezea akili INAUMA SANAAAA...Wengine tuligombana mpaka na familia zetu nakutengwa just kwa ajili yake we jiulize ni uchungu na maumivu kiasi gani tulionayo.

View attachment 684805

View attachment 684808
UKAWA ndo Chama gani?
 
FB_IMG_15169941317666929.jpg
 
Na usishangae kuja kusikia huo uchaguzi wenyewe wa marudio akashinda tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom