jamani mapenzi

jamani mapenzi

Ni bora uwe single kuliko stress za mapenzi

Nakupa pole ila pia nimekuonea huruma maana leo ndo umegundua kuwa bora kuwa single....karibu kwenye chama letu......kuna form za kujaza kwa ajili ya usajili Singles Club.
 
haha, mapenzi yanahitaji uvumilivu na ukomavu. lazima uwe na kichwa ngumu ndio mapenzi yataenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom