Misako
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 1,144
- 1,398
๐๐๐๐๐Labda mdomo unanuka
Au mchafu kiujumla
Au gubu...
Hutoi Amani Kwa anaekukaribia..
๐๐๐๐๐Labda mdomo unanuka
Au mchafu kiujumla
Au gubu...
Hutoi Amani Kwa anaekukaribia..
Hukumwelewa nini? Hana mpenzi au demu kama ulivyoandika!Kwa jinsi ulivyo kwenye avatar yako hyo huna jeur ya hata baiki ..na hata demu huna wew
Heb anzisha uzi mwingne
Kuna threads za nyuma ulisema una tatizo la nguvu za kiume, ulipona?