Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 97
Mbona ushapewa nafasi hapa kunipa hizo link?
Kwanza angalia siku niliyojiunga hapa na siku za kampeni ya Kikwete, tofauti.
Yatakushinda.
It doesn't matter nimejiunga lini na kampeni zilikuwa lini.What matter is ulisema na wewe mwenyewe umeji contradict kuwa ulishamfanyia kampeni kikwete 2005 and 1995 hello! wake up.
Link zitakusaidia nini? kwa nini msifungue chama chenu na tuone hizo sera zenu than kukaa na kukandamiza CCM kama kweli mnataka kuondoa ufisadi and all that then badala ya kukaa na kuangalia matatizo ya CCM mlitakiwa kukaa na kuangalia what you can do to change the country.
Nionyeshe wapi nimesema hivyo, since they say money talks, bs walks nina $ 1000 zako hapa ukinionyesha.
Fanya kweli, acha longolongo, umati unaangalia.
Utani pembeni,,
bluray na binti maringo naona kama kuna tension between u two...
Could it be fatal atraction??
Ha ha haha...
How unamchagua mtu bila kufanya research yako?haya ndiyo makosa tunayoyafanya just because.Usimpe mtu support just because anafaa mpe mtu support ukijua kuwa huyu mtu ni hard working na atabadilisha mambo mengi.kAMA NI hivyo basi mtafanya makosa tena si mnataka CCM iondoke madarakani? watch chama kitakachokuja ndiyo kitaharibu kabisa.msichague mtu ilimradi mmechagua angalia na ameifanyia nini nchi na asiwe mtu kutoka katika channel hizohizo.
Mtu angefanya research hipi wakati uchaguzi ni true or false??
Hakika ntakuwa sijawatendea haki wana CCM kama sijaeleza vituko vya huyu mzee wetu....
jaman walioangalia taarifa ya habari wameamini kwamba huyu mzee wetu anazeeka vibaya kabisa....wakati wabunge wakiwa wametangaziwa kufiwa kwa mmoja wa mbunge mwenzao ...kukawa na vikao vya kumzungumzia marehemu ....mwandishi wa nipashe aipofika....kwa mzee wetu makamba alimwambia mzee wetu pole sana sana...kwa kufiwa na mzee wetu...mbunge wetu....jibu la kwanza mzee alianza kwa kusema kama mnavyojua nyie waandishi jino la dhahabu hubadilishwa kwa jino la dhahabu na jino la dhahabu ni CCM....ahsante sana najua watu wa .........watajitayarisha kumchagua mtu wa CCM....Hakika mwenye busara zao walisikitika sana kwa majibu ya huyu mzee wetu...wengi walitaraji amejisikiaje kwa msiba mzito wa taifa na sio kujua nani atachaguliwa tena kwenye jimbo lake.......
Mzee makamba nahisi anaitaji mshauri jamani...msimwachie awe anaongea mwenyewe bila ruhusa ya mshauri wake...nawatakia pole wana CCM na ote walioguswa na msiba huu kwa namna moja ama nyingine
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE
Kumpigia mtu debe si kosa kama ataonyesha dhamira ya dhati ya kuwatumikia watu,lakini inapotokea mtu kuharibu baada ya kupata madaraka nafikiri itakuwa ngumu sana kuendelea kumsapoti,angalia Mugabe alipata sapoti kubwa sana kutoka kwa viongozi wengi wa Afrika wakati wa kudai uhuru wa Zimbabwe,but when he started to *** up the economy of Zimbabwe most of his former friends were against him...Kwa hivyo mie siamini kama ni lazima kuendelea kuwa mtumwa wa falsafa yako mwenyewe......
Hiyo $1000 itakusaidia kumalizia bill zako ndogo ndogo ulizokuwa nazo,ila habari ndiyo hiyo.Ulisema wakati ule hii site ilivyokuwa Jambo forum sijui archive za 2005 zimekuwa saved wapi.Waulize wahusika watakupa data zote.
Mimi naongea fwakti na wala siyo longolongo,wee subiri hizo link zitamwagwa hapa soon usiwe na shaka wala nini.
Unajuwa ile maana ya nyundo na jembe...katika bendera yao ndo utajuwa kuwa jibu la makamba halikuwa bahati mbaya saaaaana.
lol!πhahaha lakinini na mie naona kama mzee huyu anazeeka vibaya mwansdishi anaongelea kingine yeye anajibu vingine
huyu inaonyesha hata darasani alikuwa anashika namba za mwisho si bure
RIP mheshimiwa
Amen
Geoff unacheka nini thathalol!π
naona umemchoka mzee wa watu!Geoff unacheka nini thatha
mie namuombea kwa mungu mbungu wa Ruangwa apumzike kwa amani ww una smile π
naona umemchoka mzee wa watu!
bad news ni kwamba mbegu hiyo hiyo inaingia kwenye sistimu:
JANUARI MAKAMBA
MWAMVITA MAKAMBA
na kuna wana jeiefu wamejiunga humu rasmi kwa ajili ya kuwanadi.imekaaje hiyo?