Jamani magomeni

Jamani magomeni

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Wadau, kuna mpendwa mmoja beste yangu anahitaji chumba maeneo ya magomeni, isiwe tu ni kwa Mtogole. Bajeti yake ni 25,000 per month. Sasa wenye akili watasema ati ni mimi najipigia debe!! Kama unajua mahali please text here: 0769 356124
 
Magomeni iliyopo Tanga au Zanzibar?
 
25000 kwa pale labda mapipa kwa kina bob junior maana huko kuko kama kingston jamaica mtoto mdogo teja
 
Kuna chumba hapa maeneo ya kwa Bi. Nyau 20,000/= kodi ya mwaka ni-pm.
 
25000???

nenda mbagala huku ni 40-60

baada ya kinondoni panafuata magomeni kwa gharama kwa chumba kimoja

labda bondeni
 
Magomeni Mtwara.....kwa hiyo pesa hata mtogole hupati chumba cha maana....labda nyumba isiyokuwa na umeme
 
Wadau, kuna mpendwa
mmoja beste yangu anahitaji chumba maeneo ya magomeni, isiwe tu ni kwa
Mtogole. Bajeti yake ni 25,000 per month. Sasa wenye akili watasema
ati ni mimi najipigia debe!! Kama unajua mahali please text here: 0769
356124

kumbe dar kuna vyumba vya 25 self umeme na maji? ukipata mkuu jitaid ulipie mwaka maana mwakani watapandisha.
 
Back
Top Bottom