Nimeangali "nyomi" ya watu waliohudhuria mkutano wa Lowassa huko Tabora kupitia ITV muda huu,sikuamini nilichokiona hasa ukizingatia mkoa wenye ni Tabora(ngome ya CCM).
Lowassa kama Mussa katika Biblia.
Mwenye picha atusaidie kuziweka hapa jukwaani.
musa alikuwa fisadi kama mtoto wa pharaoh .akiwafisadi wana wa israel .kabla ya kubadilishwa na kuwa mkombozi wa waisraeli .rudi kasome vizuri.lowasa ndio sisi .sisi ndio lowasa
nyota ya wapi misukule ya gwajima ndo inamsaidia ,kipi alichonacho maana hata kuongea anazidiwa na mt
lowassa ni shidaaaaaa!padri mzinifu kakimbia
hana nyota yoyote gwajima ndo anamsaidia lakini tutaomba usiku na mchana rais anaetengemea miujiza ya gwajima hautfai,
mwaka pekee wa mabadiliko ya ukweli kupitia ukawa.
nawashauri gwajima ongezeni ya ya kakobe maigizo lakini ikulu takatifu shetani kamwe haingii,
We will vote for Lowassa, kila anapokwenda yeye ni nyomi tu
Nabii Mussa hakuwa fisadi
hana nyota yoyote gwajima ndo anamsaidia lakini tutaomba usiku na mchana rais anaetengemea miujiza ya gwajima hautfai,
mkuu wapiga kura wa lowasa wako katika makundi kadhaa,
1.wanachama wa vyama vinavyounda ukawa.
2.wananchi wasio na vyama lakini wanaunga mkono ukawa(hawa ndio wengi)
3.wananchi wasioipenda ccm tu kwa kushindwa kutimiza matakwa yao.
4.wana ccm ambao wanamapenzi na lowasa,hawa bado wako ccm lakini box la kura ni lowasa mfano mama mwenyenyumba yangu,siku ya magufuri jangwani alikuwa mstari wa mbele lakini kila siku anasema atampigia lowasa.
5.watu ambao walikuwa hawapigi kura kwa madai ata wakipiga ccm itashinda maana wapinzani watagawana kura,mwaka huu wameiona fursa chini ya ukawa.