Kama ulivyo kilaza au sio
nyomi ipi alikua hapa ludewa kilichomkuta hatakanyaga tena nyie leo mumeona hiyo sehemu ya tabora ndo mumechanganyikiwa,
piga simu huko ulizia population ya huko ili ujue unachokisema na hata hiyo bado ni nusu kwa nusu na magufuli maana ndo unaanza kanda,
Anayesema lowassa Ana nyota , hebu anishawishi kwanza maana sijawahi kuona tapishi likawa na virutubisho hata siku moja.
Huo mzoga unaotoa harufu nyie mnamtetea hamjui maslahi ya gwajima kwa lowassa Mbona mnafanywa misukule?
Mwambie huyo, juzi nimepita mwakaleli kule kwa Mwandosya ni cdm kwa kwenda mbele ndio maana hata Mwandosya kaona isiwe taabu kaachia ngazi.nyanda za juu kusini unamanisha mikoa kama mbeya sio, njoo uone watu wanavyompenda lowassa mimi hapa nipo isongole ileje mpakani mwa tz na malawi huku kila mtu lowassaaaaaa
Sala.
Tunakwenda kufungua kufuli zote na kumwaga pombe zote zilizowekwa na ccm, Mungu ibariki Tanzania. , mungu ibariki ukawa, mungu mbariki mgombea urais lowassa,
Ukawa oyeeeee.
mnazidi madudu ya gwajima?
nawashauri gwajima ongezeni ya ya kakobe maigizo lakini ikulu takatifu shetani kamwe haingii,
Nimeangalia "nyomi" ya watu waliohudhuria mkutano wa Lowassa huko Tabora kupitia ITV muda huu,sikuamini nilichokiona hasa ukizingatia mkoa wenyewe ni Tabora(ngome ya CCM).
Lowassa kama Mussa katika Biblia.
Mwenye picha atusaidie kuziweka hapa jukwaani.