Jamani Lowassa ana "nyota"

Jamani Lowassa ana "nyota"

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,148
Reaction score
162,558
Nimeangalia "nyomi" ya watu waliohudhuria mkutano wa Lowassa huko Tabora kupitia ITV muda huu,sikuamini nilichokiona hasa ukizingatia mkoa wenyewe ni Tabora(ngome ya CCM).

Lowassa kama Mussa katika Biblia.

Mwenye picha atusaidie kuziweka hapa jukwaani.
 
nimeangali "nyomi" ya watu waliohudhuria mkutano wa lowassa huko tabora kupitia itv muda huu,sikuamini nilichokiona hasa ukizingatia mkoa wenye ni tabora(ngome ya ccm).

Lowassa kama mussa katika biblia.

Mwenye picha atusaidie kuziweka hapa jukwaani.

nyota ya wapi misukule ya gwajima ndo inamsaidia ,kipi alichonacho maana hata kuongea anazidiwa na mtoto wa form one.

 
hawez kuwa sawa na musa wa biblia.ila bahati mbaya tuu n kwamba ana nyota

hana nyota yoyote gwajima ndo anamsaidia lakini tutaomba usiku na mchana rais anaetengemea miujiza ya gwajima hautfai,
 
da!!!! Hii ni htr sn. Sasa hawa wanaotuina cc marofa watapigaje hilo goli la mkoni?

nawashauri gwajima ongezeni ya ya kakobe maigizo lakini ikulu takatifu shetani kamwe haingii,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom