masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,410
- 14,120
hii laana itakitafuna chama cha waziri husika na serikali yake.Mjengo huu mali ya Mstahiki mmoja mikoa ya kati,una kalaana ka aina fulani.
Upo pale Mbezi mkabala na kanisa la Mbezi Luth Church.
Hadithi inasema kiwanja kilichopo jengo hilo ilikuwa mali ya kanisa, ila kiliporwa na wajanja kwa kutumia mheshimiwa mmoja aliyekuwa waziri pale Ardhi.
Toka jengo lijengwe wapangaji hawakai, sasa hivi ni miaka.
View attachment 84576
hii laana itakitafuna chama cha waziri husika na serikali yake.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Arudi kuomba msamaha na kurudisha kile alichokitapeli kwendana na thamani yake kwa sasa atasamehewa na akigombea 2015 atapata ubunge hivihivi labda aendelee kujichumia dhambi za wizi wa Kura! Manake ile laana ya utapeli na ,ajonzi ya watapeliwa bado inamfwata!Kweli mkuu lakini laana huwa very specific kwa mtu sliyetenda maovu.
Hivi mtu aliyelitapeli kanisa anasafishika kweli?
Mbona naona Tangazo la laundry and dry cleaner au hiyo ni biashara ya mwenye jengo?
Na ni ajabu zaidi kwa ground floor Iiliyokuwa Imalaseko)kukosa wateja katika biashara yoyote.Nakumbuka palikuwa na gym hapa kwa ghorofani, umenifanya nifikirie mara mbili mbili maana kwa jinsi jengo lilivyo vizuri na linafikika kirahisi sio kawaida kuwa ktk hali hii!
Kweli kabisa mkuu, kama mtu ana roho ya kutapeli kanisa, hazina ya serikali si ndio itakuwa mchezo?Arudi kuomba msamaha na kurudisha kile alichokitapeli kwendana na thamani yake kwa sasa atasamehewa na akigombea 2015 atapata ubunge hivihivi labda aendelee kujichumia dhambi za wizi wa Kura! Manake ile laana ya utapeli na ,ajonzi ya watapeliwa bado inamfwata!
Jengo ni mali ya ALHAJI ADAM KIMBISA na waziri aliyekuwa na dhamana ya ardhi ni NDUGU EDWARD LOWASSA........Hiyo ardhi ilikuwa nali ya TBL kabla ya ubinafsishaji na ARNOLD KILEWO ndiye aliye lobby kanisa kupata kiwanja na si kinyume chake. Lowassa kama muumini wa KKKT nae akawapa kanisa. Kukosa biashara kwa jengo ni suala la msimamo wa mmiliki.
Usipindishe ukweli mkuu.
Kilewo ndiye aliwapa KKKT na katika kubadili matumizi ardhi, Waziri mwenye dhamana ndiye alikigawa.
Hao waliofaidika na mgawo ni ndugu zake ,rafiki zake(wengi ni wa Arusha), shemeji yake.
HUO NDIO UKWELI.
Unamwambia mwenzio " usimung'unye" wakati wewe unafanya vivyo hivyo! Au pamerushiwa mapepo wachafu?Ni kweli kabisa, nipo jirani sana na hapo na hiyo ndio hadithi yenyewe, wala usimungunye, wenyeji wanasema hilo ni eneo la kanisa la kilutheri na jamaa waligawiana kinyemela na waziri mkuu mmoja mstaafu (actually hilo la imalaseko ni la huyo aliyekua waziri na la jirani yake, kwenye tawi la benki ndio la mstahiki mmoja)
hii taarifa ipo siku zote
ushauri wangu kwa hao mashemeji wawili ni kwamba wadonate tu hilo eneo back, hawatapungukiwa na kitu