mshumbue-soi
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 1,842
- 1,148
Wanajamvi
Umofia kwenu.
Naombeni tuelimishane ni kwanini ukimchumbia msichana wakati wa send off na wakati wa Harusi badala ya kuwapa watu tabasamu furaha analia wakati alikubali mwenyewe na akaomba tuungane naye kufurahia
Je anaogopa muhogo wa kila siku au ndo nini tena
Nawasilisha
Nyumba uloiziwea kuihama ina kazi..........
Mmh! Nshazoea kulala na nguo sa huko hata bila kyupi! Ohoho lazima niliee!! Btw- mambo mengi humfanya bi harusi kulia,wengne ni machoz y furaha hatimaye cku imefka,wengne kuachana na ndugu ulowazoea kila cku kama mama na dada zako au wadogo,n.k,n.k.
Teh teh teh teh we jamaa bnaa, hivi unadhani mboo nzuri.? Lazima alie mana kiwaza kile k.i.t.o.m.b.o alichokua anakipata pindi muko wachumba,tena kwa kuibaiba inakuaje sasa wakati akishafunga ndoa mana hakuna speed governer... Ni mwendo wa kukaliwa juu ya kiuno na kyupi unaweka kwenye kambaaaa... Mboo inatisha mkuu ohhh..
ha ha.. tena wanacheza na kwaito..lol, ni zuga tuwa zamani walikuwa wanalia wanaogopa mchezo, wa siku hizi wanalia kweli? mbona walio wengi huwa wana mashamushamu sana?