ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 3,883
- 3,921
Ngoja Tusubiri tuone !Kuanzia sasa upinzani ndani ya chama utakuwa mara dufu uadui na uhasimu baina ya maswahiba wa muda mrefu ndani ya chama utakuwa mkubwa zaidi timu pinzani ndani ya chama zitatafuta mbinu nzito kuangusha timu kijiti