Jamani kuna aliyesalimika!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
jk.jpg
Hapa kuna swali eti ndege ikiangukia kwenye mpaka wa Malawi na Tanzania je Majerui watazikwa wapi?
 
Namjua mkulu kwa mabao ya mbali lazima majeruhi wazikwe!
 
Tehe tehe, unanikumbusha shule ya msingi. Mwalimu wangu Jack Bichwa sijui kama bado yupo Kigoma. Swali lingine aliuliza kama fahari la Tanzania likitoroka zizini na kufika katika mpaka wa Kenya, asilimia kubwa ya mwili wake upo kenya, je nani anapaswa kumkamua maziwa?
 
km Mpaka upo Ziwani Nyasa hakuna atakayekufa maana maji yatawaokoa na Ndege ya JK ni NYAMBIZI KWENYE MAJI
 
Back
Top Bottom