Habari zenu wakuu..niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna watu humu wanakua wanaponda sana wadada wa jf kwamba hamna kitu sijui wengi umri umeenda na maneno mengi yasiyo ya kweli.
Lakini kwa macho yangu nimebahatika kupata marafiki kama wanne wa kike aiseee ni hatari.
Ubaya hatukuanzisha mada za mapenzi hadi leo lakini kwakweli sifa zao nawapa. Utafikiri wametoka leo kwenye yai la mbuni.
Hongereni sana nyinyi marafiki zangu kwa kunifanya nianzishe mada.
Jf ina member wengi tu tena warembo na watanashati kuna dada mmoja mrembo tulikaa siti moja mwendo kasi kitambulisho chake kilionesha ni mtu wa t r a .nilikuja kujua anatumia jf wakati anacoment.