Ni kweli nlimfahamu sana huyu, alikuwa mtoa huduma ya kiroho. ni mtu kutoka Kenya (Mjaluo). Msishangae kuiona hii post hapa, kwani mnavyo weka taarifa nyingine mbona hamuulizi kwa nn bandiko lake liko hapa.
Alikuwa mtoa huduma mzuri sana, mhubiri wa kimataifa. Akiwa anakuja sana Tanzania kutoa huduma ya kiroho na watu wengi hasa wanakasrsmatiki Katoliki walimjua hivyo.
RIP Gabriel Otiato