Jamani karismatiki - katoliki, otiato nini kimemuua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani karismatiki - katoliki, otiato nini kimemuua?

Discussion in 'JF Doctor' started by KASRI, Jun 19, 2011.

 1. K

  KASRI Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwa wenzangu wa-Karismatiki, nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha mtumishi wa Mungu Otiato kilichotokea Kibaha usiku wa kuamkia Jumamosi (18 June 2011). Habari hizi tumetangaziwa Kanisani leo ila hakukuwa na maelezo zaidi.
  Jamani mwenye taarifa zaidi nitashukuru.
  Asante
   
 2. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  huyu jamaa alikua mwana JF?
   
 3. K

  KASRI Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sina uhakika ila ninamfahamu kupitia huduma yake ya kiroho (Karismatiki Katoliki Jimbo la Dar es Salaam)M yeye ni raia wa Kenya.
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,045
  Likes Received: 6,487
  Trophy Points: 280
  nimepitia hapa asante.
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Aaaah namfahamu huyu jamaa alikuwa mhubiri mzuri saana kwakweli RIP brother!
   
 6. Ntumami

  Ntumami Senior Member

  #6
  Jul 1, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  nilisikia ni Malaria ndio ilimsumbua akiwa kwenye huduma Kibaha..... Bwana METOA na BWANA AMETWAA
   
 7. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  nimekimbia nikijua unaswali la kitabibu.. whos that dude anyways ...? kwanini bandiko lake lipo ndani ya Jf docs"

  sorry for you loss
   
 8. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,302
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  Karismatiki ni Ulokole ndani ya Kanisa Katoliki.
   
 9. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ni kweli nlimfahamu sana huyu, alikuwa mtoa huduma ya kiroho. ni mtu kutoka Kenya (Mjaluo). Msishangae kuiona hii post hapa, kwani mnavyo weka taarifa nyingine mbona hamuulizi kwa nn bandiko lake liko hapa.

  Alikuwa mtoa huduma mzuri sana, mhubiri wa kimataifa. Akiwa anakuja sana Tanzania kutoa huduma ya kiroho na watu wengi hasa wanakasrsmatiki Katoliki walimjua hivyo.

  RIP Gabriel Otiato
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  RIP bwana alikupenda zaidi
   
 11. B

  Bushe New Member

  #11
  Jul 5, 2011
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunaomba picha za huyo baba Otiato jameni. RIP.
   
 12. d

  denis chinula New Member

  #12
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  By Denis Chinula: Mimi binafsi nafikiri viongozi wetu wanafahamu nini kimesababisha kifo chake, au kama hawajui basi watajua kupitia ripoti ya madaktari.
   
 13. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  RIP mtumishi Otiato
   
Loading...