Jamani Jirani yangu huyu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani Jirani yangu huyu!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Washawasha, Mar 28, 2011.

 1. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Habari zenu kwa ujumla,natumaini hamjambo na weekend imeisha salama,kwangu mie siku ya leo sijaamka vizuri kutokana na yaliyonitokea alfajiri ya leo,Wakuu hivi nimfanyeje jirani yangu huyu? Niliamka saa 10 alfajiri ili kujiandaa kwenda mihangaikoni basi nafungua dirisha ili niangalie nje,sikuamini macho yangu pale nilipomuona jirani yangu na My family yake yote wakijisaidia haja kubwa ktk ua wangu kwa hasira nikatoka nje ili nikamuulize tatizo ni nini. MIMI:Jirani vp tena mbona unajisaidia haja kubwa ktk ua wangu? Kwa nyodo akanibu hivi. JIRANI:We mbona mbwa wako anakuja kun*a nyumbani kwangu.kwani mie sichoki kufagia kinyesi chake?
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  imeanza km seriouz imemalizika km jokes.
  nashindwa kusema neno
   
 3. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #3
  Mar 28, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Ikawaje sasa?
   
 4. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Nikawaacha wamalize haja zao na mie nina mpango wa kulipiza,je nitakosea nikifanya hivyo?
   
 5. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Ni siriasi huyu jirani kanichanganya kwa kweli nina mpango wa kulipa kisasi
   
 6. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Umeona eehh, inatia ukakasi kuchangia vile!!!
   
 7. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  autakosea.
  tena wewe fanya mchana kweupeeeeeeeeeeee ..siku ya jumapili saa 7 mchana ..jipange wewe mbele ,afate mkeo then haus gal afu watoto kwa ile style ya bata mnajipanga shwaaaaaaaaaaaa km bata wapo kwenye msafara ,,,......fanyen mambo yenu then haooooooooo wakiwauliza waambie we r just replyng da msg.

  karibu ugali mlenda,kasamak kakukaanga...!!!!!
   
 8. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #8
  Mar 28, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Ha ha haa...
  Umenikumbusha stor ya jamaa aliyeahidiwa kupewa baiskeli kama akithubutu kun*ya sokoni mbele za watu.
  Kwa ujasiri wa ajabu, jamaa alitekeleza zoezi, akajichukulia baskeli.
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  uyo jasiri wa ukweli...
  dawa ya jiran ni ndgo tu..afanye km nilivyomwambia nakwambia atahama mtaa!!
   
 10. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2011
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwanza inabidi ukaripot kisa hicho polisi, baada ya hapo inabidi majirani zako wakapimwe akili.
   
 11. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Duh,watu wengine hata kutunga tu stori za uongo hamuwezi
   
 12. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2011
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 752
  Trophy Points: 280
  ha ha ha mbavu sina mwenzenu duh, huu ukichaa wanao wazungu sana. cha kufanya panga utaratibu mzuri wa mbwa wako kutoa haja kubwa ili asiende tena kuchafua kwa jirani. ukilipiza kisasi ujirani utaharibika na wewe utapata aibu bure. pls usilipize kisasi utakuwa kituko kama huyu jirani yako. ila bado nacheka kwa kweli.
   
 13. T

  Tall JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  I.zoa kamwage,kisha piga deki.
  2.mzuie mbwa wako asinye ovyo kwa majirani.
   
 14. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #14
  Mar 28, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Jirani kapinda huyo
   
 15. Isaac

  Isaac JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 627
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Inaonesha jirani yako kakaa loliondo muda mrefu sana. Kule kunia ni popote.
   
 16. s

  sugi JF-Expert Member

  #16
  Mar 28, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Nenda kawanyee na wewe!
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  itakuwa kichekesho.
   
 18. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #18
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hahahahahaha!
  Kama mtoto vile.
   
 19. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #19
  Mar 29, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Dada Rose1980, bora hii yako kali. Nimecheka sina mbavu. Like it!
   
 20. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #20
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Sawa nitafanya hivyo
   
Loading...