Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,948
- 13,378
Habari zenu kwa ujumla,natumaini hamjambo na weekend imeisha salama,kwangu mie siku ya leo sijaamka vizuri kutokana na yaliyonitokea alfajiri ya leo,Wakuu hivi nimfanyeje jirani yangu huyu? Niliamka saa 10 alfajiri ili kujiandaa kwenda mihangaikoni basi nafungua dirisha ili niangalie nje,sikuamini macho yangu pale nilipomuona jirani yangu na My family yake yote wakijisaidia haja kubwa ktk ua wangu kwa hasira nikatoka nje ili nikamuulize tatizo ni nini. MIMI:Jirani vp tena mbona unajisaidia haja kubwa ktk ua wangu? Kwa nyodo akanibu hivi. JIRANI:We mbona mbwa wako anakuja kun*a nyumbani kwangu.kwani mie sichoki kufagia kinyesi chake?