gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,674
unajuwa ukimtanguliza mungu kwa kila jambo lililo baya atakuepushia nigekuwa mwenye tamaa za mwili kupitiliza ningeishi na mtoto asie kuwa wangu,
uwe macho na enelea kumpenda sana mungu wao.
unajuwa ukimtanguliza mungu kwa kila jambo lililo baya atakuepushia nigekuwa mwenye tamaa za mwili kupitiliza ningeishi na mtoto asie kuwa wangu,
yeah yapo na uwe mwangalifu kwa kila hatu unayo piga!Hahahahahahah....iko kama hadithi moja alinipigia mama yangu ya mchungaji mmoja wa morogoro miaka ya 1980's...kumbe haya mambo ni kweli kabisa na bado yanatokeaga.
Mh...iyo inatisha...na bado unanshauri harusi...bado mentor niponipo saaaaaaana!
asante!uwe macho na enelea kumpenda sana mungu wao.
habari za leo wana jamii..??? dah sijuwi hata nianzie wapi..! ila ukishangaa ya Musa utashangaa ya firauni! kama unavojuwa ilikuwa tarehe 18-8-2012 ilikuwa namvisha pete mtarajiwa, alifika hapa zenji tarehe 16 usiku tulipanga siku iliyo fuata yani tarehe 17 twende kupima afya zetu. hatujawahi kunfanya tedo la ndoa hata cku 1 sikupenda kufanya mapenzi kwahofu maana ukiwa na hofu huwezi faidi mahaba.tulifika hosbital ya JWTZ ipo bububu hapa zenji. vipomo nikama hivi H I V poa uzazi ana mimba ya miezi 3
duh tena??????????refresh page, begin searching..
sio bahati bali wakiti huu tulio nao undio unao ifanya akili ifanye kazi sana!Wakati wewe unadhani unamtunza, wenzio walikua wanajipigia tu kama kawaida akajua atakubebesha na zigo la mimba! Una bahati sana aisee!
unajuwa siku hisi wasichana wengi wanatoa mimba ovyo ndio kilicho nisukuma kwenda kuangalia kama ana uzazi au laa..! na kujuwa juu ya HIV.[/QUOTE said:hapa kidoogo umeniacha..HIV sawa..uzaz?so kam hazai unamdump, we uko vzr ktk hili?au cjakuelewa vzr
huyu ni kama miezi miwili kasoro na nilijuwana nae kupitia JF mwenzi wa 7 mwaka huu.
ushauri: sikiliza KWA MAKINI "bado nipo nipo" ya mwana F.A
asante ila nimefarijika sana kujuwa haya mapema nahisi ingeniuma sana endapo angekuja kuzaliwa mtoto ambae sio wangu igeuma mara dufu!Duu hii ni chiboko.. pole sana luku..
huyu ni kama miezi miwili kasoro na nilijuwana nae kupitia JF mwenzi wa 7 mwaka huu.
loading......please wait............
Ok imefunguka, kumbe humu humu JF watu wanafanya makubwa namna hii, nami ngoja nianze mchakato
laaa noma ila kapiga chini nilipitia elimu ya watu wazima (gumbalu)Kakukosa huyo kaka,hana aibu alitaka kukushikisha mzigo wa mwizi....move on tafuta kitu kingine,huyo utulivu F
loading......please wait............
Ok imefunguka, kumbe humu humu JF watu wanafanya makubwa namna hii, nami ngoja nianze mchakato
ok uwe mwangalifu!