jamani.....!!!! jamani.....!!!!

Hahahahahahah....iko kama hadithi moja alinipigia mama yangu ya mchungaji mmoja wa morogoro miaka ya 1980's...kumbe haya mambo ni kweli kabisa na bado yanatokeaga.
Mh...iyo inatisha...na bado unanshauri harusi...bado mentor niponipo saaaaaaana!
yeah yapo na uwe mwangalifu kwa kila hatu unayo piga!
 
habari za leo wana jamii..??? dah sijuwi hata nianzie wapi..! ila ukishangaa ya Musa utashangaa ya firauni! kama unavojuwa ilikuwa tarehe 18-8-2012 ilikuwa namvisha pete mtarajiwa, alifika hapa zenji tarehe 16 usiku tulipanga siku iliyo fuata yani tarehe 17 twende kupima afya zetu. hatujawahi kunfanya tedo la ndoa hata cku 1 sikupenda kufanya mapenzi kwahofu maana ukiwa na hofu huwezi faidi mahaba.tulifika hosbital ya JWTZ ipo bububu hapa zenji. vipomo nikama hivi H I V poa uzazi ana mimba ya miezi 3

Wakati wewe unadhani unamtunza, wenzio walikua wanajipigia tu kama kawaida akajua atakubebesha na zigo la mimba! Una bahati sana aisee!
 
duh..pole kaka, ningekua mimi ningeachana nae,aende kwa baba wa mtoto ili mtoto apate malez ya wazaz wawil..c umeona hata cmu zako hapokei?anaona aibu.. Mpotezee kakaangu..na nakupongeza sana kwa kutofanya nae mapnz hadi mpimane,ila nikuulize..dhumun la wewe kumpima mimba ni nini? Naamin ulishafkiria uamuz kama matokeo yangekua mimba,huu ndo mda kuuaply,.ts hard but pocbo..asante pia,nimejifunza ki2 frm ur story..hop umensoma kaka angu..sio mwisho wa maisha...( dedication wimbo wa ne-yo, go on girl)
 
[QUOTE= unajuwa siku hisi wasichana wengi wanatoa mimba ovyo ndio kilicho nisukuma kwenda kuangalia kama ana uzazi au laa..! na kujuwa juu ya HIV.
 
Kakukosa huyo kaka,hana aibu alitaka kukushikisha mzigo wa mwizi....move on tafuta kitu kingine,huyo utulivu F
 
jaman tuwe makini sana hasa kwenye uhusiano wa siku hizi! nahisi tamaa ya mwili ikipitiliza aibu kama hizi huwezi kuzikwepa! nashangaa huyu dada anaelim ila kilichotokea nisinge shangaaa sana kama elimu yake ingekuwa duni. labda alizani sijaelimika nasijuwi ninachotaka na ninae mtaka! hii ni wale wote mnao taka wachumba nilazima uwe mkweli na muwazi na usiogope kutetea kwa kila unacho amini itakusaidia sana.
 
Neylu...ila kaka mi sikujua kama ulishashema una watoto wawili na its owkay kama huyo unayemtafuta ana mtoto asiyezidi mmoja...sioni kama kuna ishu tena hapa..mtafute muendelee na process yenu bana,amesikia aibu tu huyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom