jamani.....!!!! jamani.....!!!!

loading......please wait............
Ok imefunguka, kumbe humu humu JF watu wanafanya makubwa namna hii, nami ngoja nianze mchakato

Nokla hiyo quote ni ya mtoa mada sio mimi.........ila oyeahhh i mean Jf hooks pipo up its a social network afta all.. i got my man from here as well and am so sooo happy.... so give it a try u never know!!!!!!!!!!
 
mshukuru Mungu umeyajua hayo mapema

kisicho riziki hakiliki wangu...............

pole sana ......................
 
Pole sana mkuu ila hongera...Ilikuwa uuziwe Mbuzi kwenye kiroba.
 
habari za leo wana jamii..??? dah sijuwi hata nianzie wapi..! ila ukishangaa ya Musa utashangaa ya firauni! kama unavojuwa ilikuwa tarehe 18-8-2012 ilikuwa namvisha pete mtarajiwa, alifika hapa zenji tarehe 16 usiku tulipanga siku iliyo fuata yani tarehe 17 twende kupima afya zetu. hatujawahi kunfanya tedo la ndoa hata cku 1 sikupenda kufanya mapenzi kwahofu maana ukiwa na hofu huwezi faidi mahaba.tulifika hosbital ya JWTZ ipo bububu hapa zenji. vipomo nikama hivi H I V poa uzazi ana mimba ya miezi 3
pole sana luku_77
 
Last edited by a moderator:
mii najipongeza sana kutipa katika mtihani ambao ningefeli! ilikuwa nimepotea ningeishi bila furaha ambayo watu wengi hutarajia maana kwa iman yangu mimi ukioa ndio basi. ni kifo ndicho kitawatenganisha. mungu ni kila kitu anza nae maliza nae utashinda mtihan ujao
 
mi naona umeleta fumbo na sio unataka ushauri maana kila kitu umeweka wazi na chochote utachoamua kwako ni sahihi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom