Jamani jamani unyonyeshaji huu!!!

Jamani jamani unyonyeshaji huu!!!

kivyako

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
14,341
Reaction score
12,068
Huu unyonyeshaji unaweza kusababisha matatizo
 

Attachments

  • Image0568.jpg
    Image0568.jpg
    109.5 KB · Views: 879
Sometimes kinamama huniacha hoi akiwa binti kuliona ziwa (titi) marufuku lakini ngoja ajifungue....Hata stendi haoni tabu kulitoa huku likikodolewa macho na kila mmoja.
 
Sometimes kinamama huniacha hoi akiwa binti kuliona ziwa (titi) marufuku lakini ngoja ajifungue....Hata stendi haoni tabu kulitoa huku likikodolewa macho na kila mmoja.

Akiwa ananyonyesha sio ZIWA; ni HOTEL ya dogo🙂
 
Sometimes kinamama huniacha hoi akiwa binti kuliona ziwa (titi) marufuku lakini ngoja ajifungue....Hata stendi haoni tabu kulitoa huku likikodolewa macho na kila mmoja.

La msichana ni titi na mama ni ziwa wacha lionekane kwani sasa ni chakula.
 
Hii picha inavyoonekana (kwangu mimi) haikupigwa kwa ridhaa ya huyo mama. Hata hivyo, Hongera mama kwa kumpa mtoto haki yake.
 
Ziwa ni kubwa kuliko hata sura na mdomo wa mtoto...
 
Mimi nilivyomuelewa mtoa mada,kuwa inaweza kuleta matatizo kwasababu ziwa limefunika pua ya mtoto anaweza kukosa pumzi kitu ambacho ni hatari kwa mtoto
 
Mimi nilivyomuelewa mtoa mada,kuwa inaweza kuleta matatizo kwasababu ziwa limefunika pua ya mtoto anaweza kukosa pumzi kitu ambacho ni hatari kwa mtoto

Hata me nimeelewa hivyo but watu wameenda mbaliii......
 
Tuulizeni tulonyonyesha watoto siyo baba zao lakini. Hakuna ziwa kubwa kwa mtoto na daima mtoto anaponyonya anakuwa na mbwembwe sana. Hivyo mtoto yuko kwenye maeneo yake ya kujidai! Mwache ajidai
 
Hii picha inavyoonekana (kwangu mimi) haikupigwa kwa ridhaa ya huyo mama. Hata hivyo, Hongera mama kwa kumpa mtoto haki yake.
Huyu aliyepiga lazima yupo kwenye basi halafu kila akiambiwa rudi nyuma hataki.
 
Kuna Fasihi moja nilisoma,inaelezea mtoto akiwa ananyonya anapata raha ya Tendo la ndoa
 
Hatari hapo kwa Mtoto, maana kazibwa pua mpaka macho
Wewe Mpiga picha mwokoe mtoto hapo haraka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom