Jamani jamani please msaada

Polax

Senior Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
116
Reaction score
6
Natokea sumbawanga niko dar ubungo naombeni job yeyote mwene uruma anisaidie kama ikiwezekana plz plz ma fans namba iyo hapo 0685816103
 
Ukitoka Sumbawanga ulikuwa unakuja Dar kwa nani?

Umekujaje?

Una fans katika fani ipi?

Hii kali.
 
Ni nini unaweza fanya jiji gumu kama hili ukiweza urudi kwenu kabla hujakula nauli.
 
Natokea sumbawanga niko dar ubungo naombeni job yeyote mwene uruma anisaidie kama ikiwezekana plz plz ma fans namba iyo hapo 0685816103

Jiufunze kuzingatia kanuni za uandishi
 
Mie hapa usijali ni kazi gani naweza uku nilikuja kwa jamaa xaxa amenizingua xo help plz
 
Mie hapa usijali ni kazi gani naweza uku nilikuja kwa jamaa xaxa amenizingua xo help plz

Please rudi nyumbani ujipange upya kurudi bila kumtegemea mtu.

Jiji gumu sana hili basi tu tunakomaa nalo!
 
Mie hapa usijali ni kazi gani naweza uku nilikuja kwa jamaa xaxa amenizingua xo help plz
xaxa NDO NINI? HALAFU UMEIJUAJE JF? UZA HYO SIMU UPANDE TRENI HADI TABORA PALE UPANDE TRENI HADI MPANDA THEN DAKA SUMRY HAD S/WANGA
 
Dedication USIJE MJINI_MWANA FA &AY PRODUCED BY PANCHO LATINO
 
kijana uandishi wako tu shida eti "xaxa" ndio mana jamaa uliemfwata kakuzingu we rudi home tu.
 
Jamani sie wote ni watz vp tunatengana?
 
hmmmm!!!

sumbawanga??

kule ng'ombe alikoliwa na mwewe hewani?

aisee sina hamu....
 
Pole mtu wangu hili jiji ni fulu mateso mwana we kama una ndugu wasiana nae haraka kwa msaada lasivyo jiandae kula unga,
 
Maana jijini hata kupiga debe lazima upitie interview.
 
Mie hapa usijali ni kazi gani naweza uku nilikuja kwa jamaa xaxa amenizingua xo help plz
we kijana wa kutoka Sumbawanga, jitahidi uwe unaandika maneno kwa usahihi!!acha utoto wa kwenye facebook wa kuandika "xaxa" au "xo"!!
 
Jamani sie wote ni watz vp tunatengana?

hata huko sumbawanga kuna watanzania, kuna kazi pia..

why dar es salaam?

huoni kwamba utakuja kuongeza raia wanaolala nje???

kuna wenzio kibao wanalala viwanja vya sahara mpaka asubuhi.. wengine wako tu hapo ubungo stendi pamoja na kunguni wote walioko hapo...

wajameni, njooni dar es salaam kwa sababu maalum tu!!! na msipofanikiwa, rudini vijijini mlime...!
 
Natokea sumbawanga niko dar ubungo naombeni job yeyote mwene uruma anisaidie kama ikiwezekana plz plz ma fans namba iyo hapo 0685816103

Samahani mkuu, kwani ulivyotoka Sumbawanga mpaka Dar lengo la awali liliikuwa ni lipi hasa?, na mpango ulikuwa ni upi pindi ufikapo jijini?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…