Jamani Jamani Jamani - Maadili Evolution | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani Jamani Jamani - Maadili Evolution

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by super thinker, Nov 4, 2011.

 1. super thinker

  super thinker JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kizazi Cha Mababu Zetu:1920 - 1950, kijana akimwona binti akampenda,mshenga anatumwa kupeleka barua kwa familia husika kuhusu lengo la ndoa alilo nalo, sometimes hata binti hamjui kijana husika. No western Culture impact
  Kizazi cha mababa zetu:1940 - 1980, hali ilikuwa kama kwa mababu ila hapa kijana na binti wangeweza kukutana kabla kwa maongezi na mengineyo na kwa rare case kukutana kimwili. Little western culture impact
  Kizazi Cha maKaka zetu: 1980 - 2000, hali ikaanza kubadilika taratibu,vjana hujuana kukamilifu kabla ya ndoa katika nyanja zote,rare cases sana vjana wangesubiri marriage for sexual meeting.Western culture impact kwa mbaali inaanza kuwa felt.
  Kizazi cha SASA(dotcom): 2000 - 2011,vjana wanaona fahari na ujanja kuwa kwenye several relationships kabla ya ndoa,na humo vyote vya kwenye ndoa hufanyika. MBAYA ZAIDI western culture impact is so massive that TUNALAZIMISHWA sasa kukubali kikatiba ndoa za Jinsia Moja.

  wewe unafit wapi???what do you think is next to this Maadili evolution???ova
   
Loading...