Jamani jamani inatisha sanaaa

Kwa maandishi yanayoonekana kwa nyuma yaelekea ni nchi fulani Asia..
 
Wanaacha vichwa ili mteja asije akadanganywa kwamba ni menu ya mbwa kumbe siyo. Vinginevyo, wateja wasipoona kichwa, watadhani umewambambikizia ya ng'ombe. Watasusa na nyama yako itadoda.
 
Sasa ni vibudu ama? Supu ya kichwa itakuwa tamu sana!
 
Hayo maandishi ni ya kikorea. Miaka ya nyuma korea walikumbwa sana na njaa wakaanza kula nyama ya mbwa, mpaka leo hawajaacha. Nilikuwa korea kipindi flani, hiyo nyama inauzwa bei ghali kuliko nyama ya ng'ombe, kuku au kitimoto. Na wenyewe wanakwambia ni "very healthly" . Too bad walinimixia siku moja na nyama nyingine sikuweza kutofautisha lol
 
Loh!! yani nimehisi kutapika.
 

that's thai broda hakuna kikorea hapo...mbwa huliwa wakati wa winter reason ni kuwa anaongeza nguvu na kuprovide joto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…