Jamani inasikitisha thana

Jamani inasikitisha thana

Mallata Jr.

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
461
Reaction score
392
Jamaa katika mihangaiko yake mitaani alipata Kiu ya hatari... akapita nyumba moja kuomba maji akamkuta Dogo mmoja akamuomba Maji ya kunywa, Dogo akamletea Maziwa!! Jamaa akanywa.

Jamaa: Niongeze tena.
Dogo akaleta tena Maziwa!! Jamaa akanywa! Akamuuliza Dogo...
Jamaa: Nimeomba Maji ya Kunywa, mbona umeniletea Maziwa!?
Dogo: Haya maziwa ya Juzi yalimshinda Paka tukayaacha.
Jamaa kwa hamaki Glass ikamponyoka ikavunjika...!
Dogo akapiga kelele...! Mamaaa... huyu hapa kavunja Glass ya Bibi ya kutemea Makohozi...!!!!

Jamaa akazimia...
 
ghrrrrrrrrrrrrrrrrr hivi cna mamlaka ya kumshtaki huyo mtt
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom