Jamani imejipiga yenyewe hii picha, ipe neno moja tu

Jamani imejipiga yenyewe hii picha, ipe neno moja tu

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
10369175_1628242207437389_4553669032929876062_n.jpg
 

Attachments

  • Mtoto wa mkulima.jpg
    Mtoto wa mkulima.jpg
    28.5 KB · Views: 1,658
Ha ha ha.
Kweli imehipiga hiyo.
Tukio la lini hilo?
 
Rais wa Fikra... anataman angejiunga na Ukawa mapema...but it is too latee
 
Nimetoka KUMCHAGUA RAIS, Mbunge Na Diwani Wangu KITAMBO Mno!! Tokea Saa 07.35!! No 6 KUINGIA Ktk Kituturi!!! Tehe! Tehe! Tehe!! Mbona Leo Shangwe!!! MABADILIKOOOO!!!!
 
Ni Waziri pekee aliyekaa kurudiwa na Karma, nitamkumbuka kwa kuomba radhi kwa matamshi yake " Wapigwe Tuu" Umesamehewa kwa hilo.
 
Hata yeye anajua kusoma alama na nyakati. Angalia alivyoishika vizuri kiuhakika. Anataka MABADILIKOOOOO
 
Kila MTU ni ndugu yake! Asamehewe makosa yake, mfumo ulimponza! Karibu ukawa tukupe jimbo kwenye uchaguzi Mdogo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom