Jamani ID zetu zinaficha mengi, khaa!

Duuh!hii kali,mi niwe mchungaji?Kondoo wa wapi tena?lol!Mi sina dini bana.You must've mistaken me with someone else...

Haya Mkuu jmushi1 siku hizi idadi ya wenye kauli kama hiyo inazidi kuongezeka.
 
Last edited by a moderator:
Haya Mkuu jmushi1 siku hizi idadi ya wenye kauli kama hiyo inazidi kuongezeka.

Kutokuwa na dini haina maana ya kuwa huna imani.Mi mwafrika tu basi.Hivi unadhani kwanini hizo kauli zinazidi kuongezeka?
 
Last edited by a moderator:
i dont have anything to hide natumia jina langu na picha yangu ya ukweli sasa kama mzee nae yupo humu basi amenicheki sana pasipo mwenyewe kufahamu, itabidi kuanzia sasa nisiande uozo kwa kweli
 
i dont have anything to hide natumia jina langu na picha yangu ya ukweli sasa kama mzee nae yupo humu basi amenicheki sana pasipo mwenyewe kufahamu, itabidi kuanzia sasa nisiande uozo kwa kweli

Kwanini mzee wako anaweza kuicheki hii picha halafu asikufahamu?ama hiyo picha ni tofauti na ulivyo?
 
Kiukweli back to the topic,id zinaficha mengi?Kongosho have you ever met anyone in here?as in jf?Yani una mawasiliano na mtu yoyote humu in the real world?
 
Kwakuangalia ID inaonekana ni mchaga agu umehitimu si zaidi ya miaka 2.

Kigauni kipo, ntascan nikiweke hapa.

Ok then miss,tell me somethin about me then ili nijuwe kama ni kweli...say something...usijekuta umemistake baada ya kuchanganya kwenye kufuatilia wengi?Huo mshono nataka kuuona btw...
 
Sijakutana na sina mpango huo hivi karibuni.
Naogopa nina pembe moja

Tena id zinaficha mengi sana lol

Kiukweli back to the topic,id zinaficha mengi?Kongosho have you ever met anyone in here?as in jf?Yani una mawasiliano na mtu yoyote humu in the real world?
 
Kwanini mzee wako anaweza kuicheki hii picha halafu asikufahamu?ama hiyo picha ni tofauti na ulivyo?
jina na picha ni za kwangu halisi hata fb natumia jina hilohilo na mzee wangu analijua hilo sasa humu jf kama nae yupo kimyakimya tunafichana yeye atakuwa amenijua ila mimi sijuhi coz sujaona picha yake wala id
 
Both myself and hubby are members here ...and we know each other!!

Fortunately he rarely visit this MMU

Nadhani wa hivo ndo mnakuwaga na ID zaidi ya moja na kila moja na kazi yake kana alivyosema samora10 (just guessing though)
 
i dont have anything to hide natumia jina langu na picha yangu ya ukweli sasa kama mzee nae yupo humu basi amenicheki sana pasipo mwenyewe kufahamu, itabidi kuanzia sasa nisiande uozo kwa kweli

sasa Nakshi huoni kama hiyo (in red) sasa inakunyima uhuru wa kujimwaga?
 
...kutojulikana kuna raha yake,na zaidi ya hapo kuna advantages zake pia,mfano;
1) Kuwa huru kusema chochote kile cha moyoni bila kuleta siasa na kupindisha pindisha kama ungekuwa na mtu halisi au watu around U.

2) Sometimes naamini kuna watu wanakuwa wameboreka zen wanaamua kuanzisha threads hata za kufikirika ili wafuatilie watu wanavobishana wao wakicheka kwenye PC zao hivyo maisha kuwa rahisi kiana kwao kwa vipindi vigumu.

Mie nilipoingia nilijua niko very free,hakuna anijuaye,si rafiki wala wifey..,kumbe juzi juzi hapa nikaja kushtuka kumkuta na yee anaperuzi JF,akafika place na kutulia katika ile coment yangu,akaniambia wazi kuwa ''NAJUA ZIS IS U,ITS UR LANGUAGE AND HAND WRITINGS,HATA UKIBISHA BISHA,ILA MIE KWA MUDA TULIOSPEND PAMOJA HATA UKIANDIKA SENTENSI MOJA TU,NAKUJUA,UTAWAFICHA WENZI WA JF ILA SIO MIMI'',moyo ulikuwa kama umenisimama kwa few seconds,BP juu,midomo inatetemeka kiaina,miguu nayo kama si yangu vile,yani nikawa najiskia vibaya vibaya tuu kwa sekunde chache,ila mwisho wa siku nikamwambia ukweli,na ni kweli ile ilikuwa ni ID yangu,zen hakumaindi,akaendelea na isue zake,na Mie mpaka leo niko huru na PC yangu,ila kwakuwa SITAKI mtu mwingine yeyote ajue,huwa niko makini kuhakikisha NALOG OUT AS SOON AS SIPO kwenye PC hata PC itabaki ON,hivyo sikubali kama kuogopa kujulikana ni UOGA,ila kwa human nature kuna raha fulani ya kuwa FREE...!!!
 
Back
Top Bottom