Jamani huyu nani tena?

Dah! Wanapendeza kweli hadi nawaonea wivu. Ngoja nijipange niende kumchumbia daughter wake.
 
Wanaangali...mazishi ya Balali....teh teh teh Hiyo Position ya TV yao sio nzuri inawafanya wanyanyue shingo kitaalam haishauriwi.....
 
Wanaangali...mazishi ya Balali....teh teh teh Hiyo Position ya TV yao sio nzuri inawafanya wanyanyue shingo kitaalam haishauriwi.....

mhh mpana wewe....naomba nije chumban kwako siku moja niangalie position ya tv yako:smile-big:
 
Sisi kule Iringa hatuna R

Hata jina halisi la mkoa lilitakiwa kuwa LILINGA
IRINGA haina maana kabisa
Na wenzetu kule kaskazini hawana L

Utasikia Hivi umeshawahi panda MRIMA KiRImanjaro ati???
Semeji sangu washamba.

Edit basi uandike "Labda Alumelu" yaani umeiandika kitoto kweli kweli "laba alumelu" hahahahaha mhamhamhaaa
 
mhh mpana wewe....naomba nije chumban kwako siku moja niangalie position ya tv yako:smile-big:

Karibu Rose....unapoangalia TV ili usichoke wala usiumie jitahidi position ya TV isikufanye unyanyue shingo au usishushe....hutachoka wala hutaumia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…