T Turudi pale Rau Madukani JF-Expert Member Joined Jan 16, 2016 Posts 2,794 Reaction score 5,898 Jan 31, 2020 #61 Suti utafikiri imepachikwa
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,873 Reaction score 40,508 Jan 31, 2020 #62 MTOCHORO said: Watu wa Itifaki siku hizi hakuna kila mtu anavaa anavyoweza . Hapo Rais ni Yupi? Click to expand... Huyo mwenye nembo ya Taifa ndo nani? Sent using Jamii Forums mobile app
MTOCHORO said: Watu wa Itifaki siku hizi hakuna kila mtu anavaa anavyoweza . Hapo Rais ni Yupi? Click to expand... Huyo mwenye nembo ya Taifa ndo nani? Sent using Jamii Forums mobile app
kelao JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 8,132 Reaction score 5,811 Jan 31, 2020 #63 Nadhani hana amani baada ya kugundua Maalimu alidhulumiwa ushindi wake 2015[emoji34]dhuluma ni mbaya sana Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hana amani baada ya kugundua Maalimu alidhulumiwa ushindi wake 2015[emoji34]dhuluma ni mbaya sana Sent using Jamii Forums mobile app
Zogwale JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 15,295 Reaction score 10,965 Jan 31, 2020 #64 My Godness. Kama ni yeye kweli basi kuna kitu hakiko sawa. Halafu hajasikika kabisa kwa muda mrefu.
Rohombaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 13,080 Reaction score 10,441 Jan 31, 2020 #65 Dah...na mabendera yote hayo....dah [emoji2960] Sent using Beretta ARX 160