Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,709
- 23,147
May be anaisoma nambaAmenyonyoka mbona
May be anaisoma nambaAmenyonyoka mbona
Hahaha...Basi mshauri wake wa dayati inabidi apimwe mkojo aisee
Itakuwa ailipiga enzi zile alipotangaziwa kukatiwa umeme awashe vibataliMay be anaisoma namba
Kama haumuoni utakuwa hauna machoWatu wa Itifaki siku hizi hakuna kila mtu anavaa anavyoweza . Hapo Rais ni Yupi?
Sio suala la kumuona sura. Picha inaishi na itaishi miaka mingi ikisema mambo mengi. Kwa heshima ya Urais na sasa wanaoijua Zanzibar na Tanzania ilivyo na viongizi nadhifu watashangaa ila kwa wewe mbumbumbu huwezi ona chochoteKama haumuoni utakuwa hauna macho
huyu mzee sijui kapatwa na nini.......Kupost picha kama hii hatumtendei haki Raisi wa Zanzibar View attachment 941209
LMAOAnafanya dayatii itakuwa...
huyu mzee naamini hata hicho kiti kuna watu wanamlazimisha ila yeye hataki kabisaShein kaisha yaani ..Dhuluma ni kitu kibaya sana nadhani hapo anajutia mengi
Kumbe ni Shein loo, kwakweli sikujua me nilijua Lugola alimkuta bosi wa wakulima wa korosho.lugola na shein utasema wameomba kupiga picha na hao mabwana
lugola n shein wanafanana wenyeviti wa vyama vya msingi, wamekuja kudai malipo ya korosho
Tanzania Zanzibar na Tanzania Tanganyika hii ndo sawa auTanzania Zanzibar na Tanzania Bara
Siyo, wakati ule braza K alikuwa hajawa minister.Itakuwa ailipiga enzi zile alipotangaziwa kukatiwa umeme awashe vibatali