Jamani huyu baba anaheshimika picha kama hii si sawa

Jamani huyu baba anaheshimika picha kama hii si sawa

mwalidebe

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2016
Posts
426
Reaction score
251
Kupost picha kama hii hatumtendei haki Raisi wa Zanzibar
FB_IMG_1542776645642.jpg
 
Kama ndivyo mtu alivyo sidhani kama kuna haja ya kuongelea hili, so mlitaka awe edited aonekane mnene?
 
Hata mabendera ana nafuu ila jamaa huyu mshamba nafikiri anamfuatia yule wa Chato kwa ushamba na ulimbukeni.
 
Back
Top Bottom