screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,829
- 15,791
Mtu umeomba kazi unaambiwa umekubaliwa uje kwa ajili ya interview, but kabla hujafanya hivyo unapewa na sharti la kutuma 20,000 eti za kucover cost kadhaa walizoziorodhesha. Binafsi nilipoona hivyo roho imesita nimeahirisha na interview yenyewe ingawa nafasi hiyo nilikuwa naipenda, nadhani hii ni aina nyingine ya utapeli na watazikomba kwa wengi maana ajira ishakuwa ishu.