Jamani huu si uchawi saidia

Status
Not open for further replies.

Wewe unaifahamu Damu ya Yesu? Umesha iona Damu ya Yesu? Unafahamu maana ya Damu ya Yesu? Unamfahamu Yesu? Jiratibu kijana. Yesu si Isa wa Jibril.

Mwenye mada kesha sema nini kinamtokea usiku usiku, sasa wewe unataka kuuliza tena swali la nini wakati jibu lipo? Sheytwain na Majini yote Machafu hayana chake mbele ya Damu ya Yesu.

Mark 16: 17 And these signs shall follow them that believe; In my name shall they cast out demons;

Hivyo basi, huyu Ndugu yeye Atumie Damu ya Yesu kwanza, halafu mengine yatafuata.

Kuna Doctor mmoja hapo muhimbili psychiatric ward! Rafiki yangu saana.

Ameona maneno yako. Ameniambia nikuulize. ! Eti unachanganya vitu gani kupata hio damu!

Yuko tayari kukiuka mipaka ya utabibu . Na anataka kujaribu hio Damu!

Manake wagonjwa wa pepo wachafu wamezidi na nafasi wodini zimejaa!

Angeshkuru saaana kama utafanya fasta kidogo!
 
aisee, MaxShimba amekudadavulia vizuri kabisa kiasi nakosa cha kukushauri ahsante kwa hilo MaxShimba , ila nami nasema mpokee Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako(OKOKA), omba kwa imani kila siku kabla na baada ya kulala, na pia funga na kuomba na ukemee hizo roho zinazokutembelea usiku, hautaona tena masumbufu hayo
 
Huyu jamaa sijamuelewa kabisa post yake misamehe kwa kweli.

Anaongelea kazi mix na nyumba anayoishi majirani zaje mix na gharama za umeme wa kuchangia...dah pole yangu.

Ukiangalia post yenyewe juu kabisa ukaunganisha na hapo niliposema kazi /////nyumba ninayoishi///////gharama za umeme utapata muunganiko mzuri. nahisi umesoma sehemu niliyokuwa najaribu kujibu maswali na mawazo niliyopewa.Si pole yako umeuliza ni sawa.
 
Kuna vitu ambavyo vinakufanya umshukuru Mungu hujawahi kutana navyo.

Nashindwa kufikiri ni nyumba ama unahitaji tiba ya akili. Labda ukaongee na daktari compenent aisee

Daktari nilishamuona, mapema. Hatua yangu ya kwanza juu ya tofauti ya mwili wangu inapotokea ni hospitali, isipoeleweka inakuwa tatizo
 
Suala sio Mungu kuingia mtaani akaanza kuponya watu!

Hayo ni malumbano ya taahira!

We unasema damu ya yesu ni kiboko yao!. Sio??

Sasa;

Pale muhimbili kuna wagonjwa weeengi mno ambao kwa mtazamo wako woote wana pepo mchafu! Na labda wengi wao wamepewa majini na waislamu.

Sasa wee wafanyie msaada. Manake kwanza wewe ni mchungaji na hiyo dawa unayo. Sasa we Peleka kiboko yao. Hio damu ya yesu!.

Halafu ukishawafukuza hao pepo wachafu nitumie ripoti nikupe heko.
Na zawadi!

Kama hukutoroka bila suruali!

Na msalaba wako umetangulia mbele!

Hahahahaha!:D:D

Hahahaha! Ukweli mtupu Mkuu kahtaan
 
Last edited by a moderator:
Kuna Doctor mmoja hapo muhimbili psychiatric ward! Rafiki yangu saana.

Ameona maneno yako. Ameniambia nikuulize. ! Eti unachanganya vitu gani kupata hio damu!

Yuko tayari kukiuka mipaka ya utabibu . Na anataka kujaribu hio Damu!

Manake wagonjwa wa pepo wachafu wamezidi na nafasi wodini zimejaa!

Angeshkuru saaana kama utafanya fasta kidogo!

Mkuu kahtaan, huyu jamaa inaonekana "ubongo wake umecheza" ndio maana ukimuuliza maswali ambayo majibu yake yako wazi bado ataruka ruka tu!
 
Last edited by a moderator:
Sasa hapa ndio tunaona matatizo ya kwenda kwenye ibada halafu mnaaambiwa na mchungaji
"fungua kurasa ya tatu, kitabu cha wagalatia, haya someni"
NA NYIE MKASOMA!

Halafu mchungaji anasema" Fungeni kitabu tuombe" halafu mnafunga macho, mnaomba! mkitoka hapo hamuangalii kipi mmesoma au ni kwanini mmesoma,mpaka jumapili ijayoooo!

Sasa huhitaji kwenda chuo kikuu kufahamu kuwa, haiingi akili hata siku moja, Dhambi na makosa ufanye wewe halafu aumie na kubeba hizo dhambi mwingine, eti tu kwa sababu "Andiko limesema"

wakristo na waislamu wote tunakubali kuwa Yesu ALIPENDWA na MUNGU NDIO MAANA AKACHAGULIWA KUJA!
Sasa huyo huyo Mungu aliompenda amtoe kafara kwa ajili ya Dhambi za MAXSHIMBA NA KAHTAAN, !
Jamani! hayo kweli ni mapenzi hayo??

Haaaa! kama mapenzi ndio namna hiyo ,

Nadhani hata wewe MAXSHIMBA mungu akikupa hiyo offer sidhani kama utakubali,

Hata mimi mapenzi hayo ya kusulubiana na kumwaga damu yangu kwa ajili yako siyataki,
AU kuna mtu kutoka Bongoland yuko tayari kufanya hivyo,
kama yupo ajitokeze!!

sasa kama hili alikubaliki kwa binaadamu, vipi leo linakubalika kwa Mungu muumba na mwenye huruma kwa viumbe wake, tena hizi sifa za huruma ya mungu ziko humohumo kwenye " ANDIKO".

sasa kama unavyodai MAXSHIMBA !KWAMBA YESU KATESEKA KWA AJILI YANGU NA YAKO ni kweli, hio siku tukimuuliza Mungu Je huu ndio upendo uliomuonyesha mtumishi wako YESU?? ATATUJIBU NINI.
Acha kudanganya watu huna chochote unachojua kuhusu bibilia,naona unataka kujilinganisha na Mungu..
 
Acha kudanganya watu huna chochote unachojua kuhusu bibilia,naona unataka kujilinganisha na Mungu..
kahtaan, hana lengo la kudanganya watu, yeye kajibu hoja jinsi anavyofahamu mambo.

Kwahivo na wewe ungemjibu kwa hoja mkuu ili watu wanaosoma hapa wajifunze kitu!
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa kila mtu anahaki ya kutoa maoni yake! Lakini unapotoa maoni kuhusu yesu! Hayo yanakuwa sio maoni binafsi

Hapa unamuongelea mtu mkubwa katika historia na kama utamzulia uongo sisi tunaemuheshimu hatuwezi kukunyamazia ! Eti kwa sababu ya uhuru wa kuongea! Allaaaa!.

Hebu sema kama wewe damu yako itaokoa watu uone kama mimi ntasema kitu.

Watu wanadhani Yesu ni kama bidhaa. Utaisema utakavyo au utaisingizia utakavyo na sisi wafuasi wa Yesu tunyamaze tu. !!

Thubbutu!!
Kipi hapo Yesu kasingiziwa,huwezi ukawa mfuas wa Yesu alafu ukampimia,wewe huna ufuasi wowote zaidi ya uasi
 
kahtaan, hana lengo la kudanganya watu, yeye kajibu hoja jinsi anavyofahamu mambo.

Kwahivo na wewe ungemjibu kwa hoja mkuu ili watu wanaosoma hapa wajifunze kitu!
Kajibu anavyojua yeye ndio akili yake ilipoishia hapo,nimemjibu kwamba akili yake anailinganisha na Mungu ndio maana akamjibia kitu ambacho anadanganya watu,kwa mtu anaejitambua ni rahis kumjua yeye ni mtu wa aina gani..
 
Last edited by a moderator:
Kajibu anavyojua yeye ndio akili yake ilipoishia hapo,nimemjibu kwamba akili yake anailinganisha na Mungu ndio maana akamjibia kitu ambacho anadanganya watu,kwa mtu anaejitambua ni rahis kumjua yeye ni mtu wa aina gani..

Hawezi kulinganisha akili yake na Mungu....lakini anaweza akalinganisha akili yake na miungu watu!
 
Huko unakoishi kuna wanga, wewe binafsi mrudie Mungu uwe unasali kabla hujalala lakini pia tafuta mtumishi wa Mungu aje afanye maombi hapo unapoishi, kwa imani maruweruwe yataisha, maana imani inaweza kuhamisha milima

Hakika hayo ni mapepo, nguvu za giza. Fanya toba kamilifu, mtumainie Mwenyezi Mungu. Mkabidhi Mungu maisha yako uondokane na mambo ya kishetani. Anza leo, badilika na sali sana utaona hayo yote yamekwisha. Usipofanya hivi ni sawa na kuendelea kumkaribisha shetani katika nyumba unayoishi. Shetani naye ana nguvu sana.:shetani:
 
Hawezi kulinganisha akili yake na Mungu....lakini anaweza akalinganisha akili yake na miungu watu!
kwa hiyo bible imekuwa miungu watu,unaweza niambia Yesu alifata nini dunia?,kwa nini watu wanabatizwa?,kwa nini binadamu kapewa nafasi ya kutubu na shetani akahukumiwa na hakupewa nafasi ya kutubu?
 
Kuna Doctor mmoja hapo muhimbili psychiatric ward! Rafiki yangu saana.

Ameona maneno yako. Ameniambia nikuulize. ! Eti unachanganya vitu gani kupata hio damu!

Yuko tayari kukiuka mipaka ya utabibu . Na anataka kujaribu hio Damu!

Manake wagonjwa wa pepo wachafu wamezidi na nafasi wodini zimejaa!

Angeshkuru saaana kama utafanya fasta kidogo!
Unachanganyia katika maabara ya Rohoni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom