umesoma Jografia au Jiografia?Nifanyaje,
Nyumba ninayokaa, hali imefikia napigwa na kutishwa usiku wa manane, nimefikia nashindwa kulala maana hali inanitisha. Mara ya kwanza nikilala nilikuwa napata usingizi wa kulazimishwa baada ya hapo nahisi kukualiwa na kitu kizito ajabu najipigapiga kujishtua na inakuwa ngumu mwishowe ndiyo nafanikia , hali iliyofikia sasa hata kama sijasinzia nikijifunika net na shuka, ninapigwa kwa mshindo mdogo kama mtu ananishitua aidha mguuni au kichwani nikijifunua kuangalia sioni lolote, muda mwingine hata kama nimejiegesha tu kitandani nakuta ubaridi wa ajabu unaanza vidole vya miguu mpaka kiunoni na kurudi ikifuatiwa na hali ya uzito wa kama kukaliwa vibaya kuanzia miguuni, nimekuwa nalazimika kutolala kwa siku tatu mfululizo. hali hii ilikuwa inanitokea japo kwa interval hapa nyuma kidogo sasa imezini. Nimeondoka pale (pwani) nipo dar sasa hali hii hainitokei kabisa. Natakiwa kwenda kule kwa kuwa ni kazini, hali ngumu.
Nisaidieni namkamata vipi huyu, nataka kumkamata. nimepima malaria sina minyoo sina what is this
Kama ingekuwa wameona wamedanganywa,wangedai makanisa yao,yarudi tena kuwa makanisa.Kila anaesilimu huachana na dini ya kiislam baada ya mwaka mmoja mpaka miwili,watu hawa huja kugundua kuwa wamedanganywa gonga hapa www.faithfreedom.org !!!!
Hakuna Mungu wa watu maalumu,Mungu ni mmoja,hana mshirika,hakuzaa wala hakuzaliwa,na viumbe wote,amewaumba yeye.Tatizo ndugu yangu ni hawa ndugu zetu,sisi tunapomzungumzia Mungu wetu,hawa jamaa wanaanza makelele,tukiwanyamazia watazidi,angalia hata chanzo cha majibizano haya,utagundua ni wao,niliwaonya lakini nami wakanishukia,wewe unadhani itakuwaje?
Toa ushahidi wa maandiko,sio maneno yako ya kichwani,ili upewe somo,maana ya maneno hayo.kila goti litapigwa, na kila ulimi utakiri! Haijalishi ww nani!
Nenda www.answering-christianity.com ili ujuwe u fake wa taarifa hizo.Kila anaesilimu huachana na dini ya kiislam baada ya mwaka mmoja mpaka miwili,watu hawa huja kugundua kuwa wamedanganywa gonga hapa www.faithfreedom.org !!!!
kama wataka pasipo pa lkidini nenda response to Ali sina,google hapo.Tatizo lako huelewi wewe,hiyo Site niliyokupa siyo ya kidini ni ya kawaida wewe unanipa ya kidini kama unataka ya kidini nenda www.answering-islam.com ndo utajua ukweli
Tatizo ndugu yangu ni hawa ndugu zetu,sisi tunapomzungumzia Mungu wetu,hawa jamaa wanaanza makelele,tukiwanyamazia watazidi,angalia hata chanzo cha majibizano haya,utagundua ni wao,niliwaonya lakini nami wakanishukia,wewe unadhani itakuwaje?
Hakuna Mungu wa watu maalumu,Mungu ni mmoja,hana mshirika,hakuzaa wala hakuzaliwa,na viumbe wote,amewaumba yeye.
Hakuna mungu wa watu maalumu,Mungu ni mmoja,ndio mana maumbile ya wanadamu yako sawa,hawatofautiani,hiyo na dalili nyingi,ndio kuonysha Muumbaji ni mmoja.
Kweli nimeona,Mkuu nimefuatilia mjadala huu naona kama wewe na Max mmesoma kitabu chao...naomba kuuliza maana sijui,hivi ktk quran kuna ayat yoyote inayowahimiza waumin wa dini husika kuwalazimisha wale wasioamini Imani yao kufuata wanachokiamini wao?kama ipo,inasemaje kama anaelazimishwa amekataa?na je!muumini akishindwa kumshawishi mtu aamin anachokiamini Quran inasemaje,atapewa adhabu gani?mana naamini mtu anavyong'ang'aniza kitu lazima kuna kitu anachotaka kukiokoa.kuna nini ktk kupinga kote huku,kwa faida gani na yanani?sielewagi mimi naomba kueleweshwa jamani!
Tatizo ndugu yangu ni hawa ndugu zetu,sisi tunapomzungumzia Mungu wetu,hawa jamaa wanaanza makelele,tukiwanyamazia watazidi,angalia hata chanzo cha majibizano haya,utagundua ni wao,niliwaonya lakini nami wakanishukia,wewe unadhani itakuwaje?
Muamin Bwana wa majeshi atakuponya
Hamlazimishwi kufuata Uislam.
Someni Surat Khaafirun .
Sawa mkuu hatulazimishwi kuuamini uislam but kwanini mkisikia tu mtu kamtaja Yesu nakumpa cfa za Mungu mnacharuka hadi kushangaza?hadi mnasahau kwamba anaeamini hivyo sio Imani yenu ni Imani nyingine,kufundishwa kwake tofauti na nyie na hata Kitabu chake ni tofauti na chenu,kuabudu kwake nako tofauti!!mana kwauelewa wangu kama ikatokea Muislam akasema Yesu ni Mungu ww una haki yakumkosoa mana ni wamoja ila hii kuingilia Wakristo nakufanya force waache wanachokiamini ili wawafuate ninyi sio sawa,kama wnakosea si'wao na Mungu wao?kwani ndugu yangu Shark unaamini kwamba ninyi Waislam mna huruma sana na nafsi za Wakristo wanopotea kwa mnachoamini ninyi kuwa sio sahihi(kuwa Yesu ni Mungu)?na'je!huruma hiyo inatokea pale tu Mkristo akisema Yesu ni Mungu?nieweleshe tafadhali maana me naona kupinga kwenu sio kwa huruma juu ya Wakristo bali ni hulka yenu kutaka kila mtu aamini mnachoamini nyie jambo lisilowezekana hadi "KIYAMA" kama mnavyosemaga.
Mi ntakujibu kwa niaba ya Shark
Watu lazima wafahamu kuwa YESU ni mtume ambae. Mtu hawezi kujiita Muislamu mpaka akubali kuwa YESU NI MTUME NA NABII WA MUNGU.
Na moja ya maamrisho ya dini ya kiislamu ni kusema ukweli mambo yanayo husiana na MUNGU!
Na kupinga vikali! Pale MUNGU anapo singiziwa uongo.
Mfano;
Mtu anaposema YESU NI MUNGU! Au MUNGU ANA WATOTO! Au MUNGU ALIKUFA HALA AKAFUFUKA au MUNGU ALISULUBIWA basi mimi kama muislamu NIMEAMRISHWA niseme kuwa HUU NI UONGO JUU YA MUNGU!.
Huwezi kumchezea MUNGU MKUU kiasi hiki. (Umuue. Umpe mtoto. Umsulubu. Umgeuze binaadamu, umuadhiri kwa sifa hizi na nyingine chafu ambazo ukipewa hata wewe huwezi kuzikubali) eti kwa kisingizio kuwa una IMANI TOFAUTI!.
La hasha! Hapo ndugu yangu UKWELI UTAAMBIWA TU!.
Lakini hulazimishwi kufuata imani yangu au yyt. Ila tu! Mpe MUNGU SIFA ZAKE ZA KWELI!.
We sema kama unaabudu mti au ng'ombe kama wahindi au milima kama budas! Au miti na misitu kama bahai uone kama kuna muislamu atakusemesha!
Lkn ukisema tu huyu YESU ni MUNGU ujue huyo sio wa kwako. Bali ni Kiumbe wa MUNGU anahitaji kupewa heshima yake anayo stahili na sio kusingiziwa UONGO.
NI HAYO TU.
Ndugu Eiyer mimi binafsi sina tatizo na mtu yyt ambae anaabudu chochote. Mtu hata akiabudu nyumba au mti
Hainipi tabu mimi.
Na dini yangu inanimrisha nisimlazimishe mtu kuingia ktk imani yangu hata siku moja!
Bali naruhusiwa kumpa ushauri tu!
Lkn shida inakuja pale watu wanapo sema uongo juu ya MUNGU MUUMBA.
Ambae mimi namwabudu. Na moja ya maamrisho ya dini yangu ni kusema ukweli pale ambapo watu wanamsingizia Uongo MUNGU MKUU NA MITUME WAKE!.
LAZIMA WATU WOTE WATAMBUE KUWA
MUISLAMU HAWI MUISLAMU WA KWELI MPAKA AKUBALI KUWA YESU NI MTUME WA MUNGU.!
Yesu kabla ya kuondoka
alisema"watakuja watu baada yangu. Na watajiita mitume na manabii na rabi"
Leo tunaona kwenye tv hapa kwetu tanzania! Watu wanajiita manabii na mitume!!
Humu ndani ya hii forum. Watu wanajipa vyeo kama huyu MaxShimba anajiita" friend of GOD"
Hicho cheo kajipa mwenyewe !
Halafu anatukana na kutoa kashfa kila siku! Akisema kuwa, mara MUNGU NI MTOTO! mara MUNGU NI WAWILI!, Mara MUNGU ALIKUFA AKAFUFUKA! Mara YESU ALIKUWA MUNGU NA MTU HUYOHUYO!
Sasa huyu MUNGU amekuwa hana thamani namna hii kweli??
We unaweza mfanyia upuuzi huu MUNGU MKUU. ALIEUMBA MBINGU NA DUNIA NA VILIVYOMO?! KWELI??
Halafu sisi tunyamaze tu!
Kama mtu huyu atakuwa na cheo cha kuwa rafiki wa mungu!
Kweli we Eiyer unakubali asiambiwe ukweli?!
Rafiki wa mungu mwenye matusi!? Na kashfa!?! Mwenye kuandika pages after pages za kumsingizia MUNGU uongo.!!
Ambao hata wewe ukipewa sifa hizo utazikataa!
Halafu wakiristo wanaona ni sawa atukane na kutoa kashfa na ajiite rafiki wa MUNGU NA nabii wa YESU!!?
Sababu? Na yeye anajiita mkiristo!
Sasa kama mafundisho ya YESU wa kweli yako hivyo.
Huo ukiristo umebakisha nini kichafu!?!
Wanamme wanaoana kwa kupitia kanisa!
Kina dada nao hivohivo!?
Wabakaji na wanao haribu watoto wanapitia kanisani kufanya upuuzi huu.
Halafu sisi tunyamaze tu!?!
Hilo kanisa la MUNGU litasalimika kweli??
KWELI INAWEZEKANA HII???
Nasema tena, mtu anaweza kutukana au kutoa kashfa kama walevi na wavuta bangi! Anavyo taka!
Lakini asithubutu kujiita "rafiki wa mungu" na "mfuasi wa Yesu"
Naapa sintoacha kuonyesha uhuni wake mpaka siku ya mwisho, hata kama atapasuka!
Na yeyote anaesema ni mfuasi wa kweli wa YESU ni lazima afanye hivyo ama sio . Na yeye ni ktk "wanafiki "wanaojifanya kusema wanamfuata Yesu lkn kwa maslahi binafsi na sio mapenzi ya kweli.!
Sema ukweli, japo kuwa ukweli unauma."
Yupi huyo mkuu!
Kwa hapa tz si kikwete au!!?
Sir Mimi, tuambie kama unayo kinga ya kutokuulizwa maswali hapa Jamvini ili mtu hasikuguse mkuu!Umeona mkuu,malumbano yanaanzia hapa!sijaona mantiki ya ww kuuliza swali hilo alietakiwa kuuliza ni mwanzisha mada na hata akikwambia bwana huyo ni bwana gani hutaelewa coz sivyo ulivyofundishwa,wakati mwengine kukaa kimya sio dhambi mkuu ni busara!