Asee nimemskia s sitta leo asbh TBC NEWS ,anaongea upuuzi kuhusu wapinzani eti wana kauli nyepesinyepesi!af akagusia na mambo ya posho!! YAANI nilikuwa na chembechembe za mbaaali kumheshim yule mzee lakn leo kaniondolea vyooote hivyo, nimemdharau mojakwamoja kwa maneno yale ya kitoto alokuwa anaongea bungeni,nashkuru wkt huo mchakato wa bunge unaendelea nlikuwa mzigoni! Vingnevyo ningevunja tv yangu kwa hasira loool