Jamani Housegirl wangu Huyu, Ananitafuta ubaya! (STRICTLY KWA WANAUME TU)

Kitakachofata hapo kwao kama hautakuwa makini ni muvi ya suicide mission. Mkemee huyo shetani kabla mambo hayajaharibika.

Kumbuka una watoto wanne, uko tayari walelewe na mama wa kambo kisa house girl alikuzingua ukaingia line?

Just ignore her na kuwa mkali ili arudishe heshima.
 
Kwa jinsi ulivyoelezea tayari umeshamtamani na unajiuliza kama umege ama la,na tayari msimamo wako umetetereka,ila fahamu kua hakuna mpya kwa h/girl,so that achana na mawazo ya ajabu,jitahidi kuwa karibu sana na mkeo jiwekee fikra kuwa mkeo ni bora kuliko wanawake wote duniani!
 
Chonde Chonde,ngono nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Watu wengine bana, shame on you.... We we uzuri au u choka mbaya wa house girl unakuhusu nini? Dhumuni la kumleta hapo nyumbani kwako wewe hulijui? Hebu funguka wewe uache kuaabisha wanaume na kumdhalilsha mkeo. Hapo kwenye red... unahisi kujizalilisha au umeshajizalilisha, unavyomtolea huyo mtoto wa watu mimacho kwa matamanio ni dhambi kubwa- ili hali wewe mwenyewe uliapa kutokujishughulisha na wengine. Ntarudiiiiiiiiii tena
 
Mtimue haraka sana...

Natamani kumtimua lakini namuonea huruma, kwani baada ya kufeli form four baba yake alimwambia kazi yake itakuwa kuchunga ng'ombe, sasa kumfukuza naona ndio ataishia huko
 
Reactions: Mbu
Jaribu tu kuonja, halafu unampiga kazi kikweli! Atakuogopa na mazoea yataisha!
 
Natamani kumtimua lakini namuonea huruma, kwani baada ya kufeli form four baba yake alimwambia kazi yake itakuwa kuchunga ng'ombe, sasa kumfukuza naona ndio ataishia huko

La kumsaidia mpe kiasi ambacho kitamtosha kuendelea na masomo yake then aondoke nyumbani kwako maana unavyoongea hapa inaonekana na wewe huna nia ya kumtimua ila unataka kujishindia
Shame on you
 
Hii ni kwa wanaume tu pleeaseeeee! but mchango wako nimeuchukua ingawa umevunja masharti
 
Natamani kumtimua lakini namuonea huruma, kwani baada ya kufeli form four baba yake alimwambia kazi yake itakuwa kuchunga ng'ombe, sasa kumfukuza naona ndio ataishia huko
Timua tu ulinde heshima yako au tafuta namna yoyote ya kumsaidia lakini asikae hapo kwako!
 
Natamani kumtimua lakini namuonea huruma, kwani baada ya kufeli form four baba yake alimwambia kazi yake itakuwa kuchunga ng'ombe, sasa kumfukuza naona ndio ataishia huko

kwa hiyo unataka kmfanya mke wa pili????!!!!

Samahani uzalendo umenishinda
 
Cheza kwingine - usijaribu hata kumtania, nakushauri umtimue kwani waweza jisaau ukamlamba ikawa noma kwa mkeo
 
Timua tu ulinde heshima yako au tafuta namna yoyote ya kumsaidia lakini asikae hapo kwako!

Huyu binti sioni kosa lake hadi atimuliwe. Ukisoma hii habari inaonekana kabisa huyu mtoto kamchanganaya baba mwenye nyumba na kutokana na na yeye kujua keshamchanganya mtu anataka kujaribu "bahati yake". Chanzo ni yeye hivyo ana hiari ya kubadilika aache kupepesa macho juu juu then ataona mabadiliko mimi sioni sababu ya kumvictimize kwa hisia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…