Jamani Housegirl wangu Huyu, Ananitafuta ubaya! (STRICTLY KWA WANAUME TU)

kama vipi mpe transfer arudi kwao asijeakavunja ndoa kama na hilo gumu mkuu we mmege afu mwambie mkeo amtimue..
 
yaani aibu inakunyemelea! kwa unaposema unaajiri hgeli, nyie wababa humu wote mnisikie! hgeli ni staff wa mkeo! hayo ya kuangaliana mara sijui nimemuajiri mmeyatoa wapi? ukiwa serious huyo mtoto atakuogopa na kuacha upuuzi wake! hata mshahara mpe mkeo amlipe yeye! u shldnt even know mkeo anamlipa sh ngapi! ndo maana wanawatega, na ukigusa tu lazma akupe commitment ya maisha,if u knw what i mean!ujanja woote hujui ku-handle hgeli? sasa unaomba ushauri ufanyeje? hebu ngoja niwaache mlishane pumba manake zina vitamin b complex!
 
<span style="font-family: comic sans ms">Huyu binti sioni kosa lake hadi atimuliwe. Ukisoma hii habari inaonekana kabisa huyu mtoto kamchanganaya baba mwenye nyumba na kutokana na na yeye kujua keshamchanganya mtu anataka kujaribu &quot;bahati yake&quot;. Chanzo ni yeye hivyo ana hiari ya kubadilika aache kupepesa macho juu juu then ataona mabadiliko mimi sioni sababu ya kumvictimize kwa hisia tu.</span>
Ni kweli huyo dada hana kosa lakini jamaa kazidiwa, ili kulinda heshima yake amuondoe kwa nia njema lakini!
 
Mi mwanaume suruali (nimevaa suruali) kwahiyo nachangia!

We kama unataka kujua namna ya kumweka mbali na wewe kweli bila kufukuza (vile unamwonea huruma) mweleze mkeo akusaidie.Kama ni mwelewa ataongea nae amwambie kwamba hapo kwenu yupo kufanya kazi na sio vinginevyo.Hivyo akili yake yote aiweke kwenye kazi lasivyo mtamrudisha kwao akawe mchungaji!!!
 
Huku utaambiwa 'upasue jipu,' bora muhadithie Mkeo. Mwambie 'ibilisi' anakujaribu ubavu.
Well said. Akifuata huu ushauri, ndoa itabaki salama salimin na huyo shetani anayemjaribu atashindwa!
 
Sidhani kama kuna tatizo kwa binti huyo, nahisi wewe ndio tatizo kwa sababu unamwangalia kwa jicho la tofauti na hao wengine watano uliowahi kuwa nao na tena kwa kwa ni msomi. Yeye sio vibaya kukukarangizia chapchap chakula utokapo kazini, anakufanyia kazi kisomi. Anakuwa mwangalifu sana akiwepo mkeo sababu anajua anaweza kuwa atizo kwenu, lakini wewe unamchambua hadi utauliza majibu ambayo unayo kwake. Mtu mzima yule, hangojei useme "nakumaind mie, sili sinywi kwa ajili yako....." sababu lazima atakuwa anajua mambo mpaka hapo na hana papara. Atakuwa anawajua vizuri wanaume na mate yao yanavyodondoka hovyo, wewe sio wa kwanza kuuona uzuri wake. Anakupigia hesabu na pale formula ikijibu hutarudi jukwaani hapa kutueleza story kati yako na wewe iivyoendelea mbele.

Kama hutaki mahusiano naye maintain your seriousness in as much as before. Unavyomtafakari ndio unajenga mazingira ya tukio, nina hakika mkibaki wawili tu na wengine wako safari utaimba wimbo wa taifa na binti huyo.
 
Mi mwanaume suruali (nimevaa suruali) kwahiyo nachangia!

We kama unataka kujua namna ya kumweka mbali na wewe kweli bila kufukuza (vile unamwonea huruma) mweleze mkeo akusaidie.Kama ni mwelewa ataongea nae amwambie kwamba hapo kwenu yupo kufanya kazi na sio vinginevyo.Hivyo akili yake yote aiweke kwenye kazi lasivyo mtamrudisha kwao akawe mchungaji!!!

Ish! Kumbe mkivaa suruali mna assume ninyi wanaume sioe!! Hapo kwenye nyekundu.... Siku mama akilisikia tena toka kwa mumewe kwamba naye pasipo na shaka keshanote kuwa mtoto anataka... ndo mwisho wa hako kabinti kuishi hapo... katafungiwa vinguo vyake kwenye rambo then hata glasi alizovunja atalipishwa then kijijini the very day!

Mpwa piga ua lazima na wewe ulikua/una interest nae bhana, si vyema kukushauri ulale nae lakini pia usipofanya hivyo unajiweka mazingira magumu zaidi, ya kudharauliwa na uwezekano wa kujengewa zengwe. Kusema ukweli ni kwamba lazima umemchokoza na yeye akakuonyesha kuwa "nimekusoma mkuu" ila ukashindwa kumalizia cross iingie golini.

Lala nae kaka, kwa nini ufuate mawindo mbali wakati nyama ikonyumbani hapo ila wakati unachukua ushauri wanguu huu, jiulize maswali mawili; Je ungekua wewe ndio mkeo anafutwana Mlinzi/shamba boy ungejiskiaje? pili, je mbele za Muumba wako unashuhudiwa nini moyoni? Tatu, je vipi wanao (sio mkeo) wakijua tabia za baba yao kuwa ni za kama beberu? kila la heri Mpwa, baada ya kuwaza hayo, nakushauri sasa leo usiku, vua viatu/kandambili, chonga nae dili asifunge mlango halafu nyata taratibu ukale tunda kisha ukimaliza you will regret for the rest of your life kila umwonapo mkeo.
 
<span style="font-family: comic sans ms">Ish! Kumbe mkivaa suruali mna assume ninyi wanaume sioe!! Hapo kwenye nyekundu.... Siku mama akilisikia tena toka kwa mumewe kwamba naye pasipo na shaka keshanote kuwa mtoto anataka... ndo mwisho wa hako kabinti kuishi hapo... katafungiwa vinguo vyake kwenye rambo then hata glasi alizovunja atalipishwa then kijijini the very day!
</span>

Ndio maana nikasema kama mke wake ni mwelewa.Kitendo cha yeye mwenyewe kumwambia kitamwonyesha kwamba mumewe hana interest na binti na wala hataki kuhatibu ndoa yao kwahiyo kitakachobaki ni kumrekebisha binti tu basi!!!
 
Mpwa piga ua lazima na wewe ulikua/una interest nae bhana, si vyema kukushauri ulale nae lakini pia usipofanya hivyo unajiweka mazingira magumu zaidi, ya kudharauliwa na uwezekano wa kujengewa zengwe. Kusema ukweli ni kwamba lazima umemchokoza na yeye akakuonyesha kuwa "nimekusoma mkuu" ila ukashindwa kumalizia cross iingie golini.

Lala nae kaka, kwa nini ufuate mawindo mbali wakati nyama ikonyumbani hapo ila wakati unachukua ushauri wanguu huu, jiulize maswali mawili; Je ungekua wewe ndio mkeo anafutwana Mlinzi/shamba boy ungejiskiaje? pili, je mbele za Muumba wako unashuhudiwa nini moyoni? Tatu, je vipi wanao (sio mkeo) wakijua tabia za baba yao kuwa ni za kama beberu? kila la heri Mpwa, baada ya kuwaza hayo, nakushauri sasa leo usiku, vua viatu/kandambili, chonga nae dili asifunge mlango halafu nyata taratibu ukale tunda kisha ukimaliza you will regret for the rest of your life kila umwonapo mkeo.
Sasa hapa aondoke na ushauri gani...make naona kama unapuliza huku unang'ata..ushauri wangu...ebwana mng'ate huyo housegirl...afu wasingida wanakuwaga waukweli mwana...sioni tofauti kama unang'ata nje..kwa nn usinag'ate ndani???...upele unawapata wasio nakucha..aaaiiiii
 
Mkuu upo
Long time
Tumekosa busara zako sana kaka

nipo kaka...'shillingi' imeota matairi, tunaikimbiza haikamatiki!

Natamani kumtimua lakini namuonea huruma, kwani baada ya kufeli form four baba yake alimwambia kazi yake itakuwa kuchunga ng'ombe, sasa kumfukuza naona ndio ataishia huko

...the '2nd' sign of weakness...

Kuna yule ulitaka kumbaka kesi yenu iliishia wapi?

...astaghafirullah! ...'kichaa kapewa rungu?'
 
sijui ni ni ni
lakini kutembea na house girl au mtu yeyote anaeishi nyumba moja na mkeo ni
upumbavu saana.
hupaswi hata siku moja kutembea na mwanamke let alone housegirl ambae
anafahamiana vizuri na mkeo
 
We hueleweki kabasa.

Halafu unaakili za kitoto..
Ile thread nyingine uliofungua sasa
Ni shambo tupu...

Hongera kwa kuwa na matatizo yakujitakia.
... you make me sick
 
Back
Top Bottom