Jamani hodi mpaka ndani

Jamani hodi mpaka ndani

Sasa wewe dada unafikiri ukinipa nitaondoka nacho ?
 
1.msinitongoze - hii ina wahusu wanaume. mi nina wangu tayari.ukinibuguzi sana nakuchuna mpaka ukome ila hupati kitu kwangu. nimemaliza chichemi tena!

Karibu sana JF na karibia zaidi chumbani kwangu....

Kaka Mtambuzi muongozo tafadhali huyu ni Kaundime yupi...
 
Last edited by a moderator:
The Boss

Sidhani kama ni mgeni huyo....and who knows....anaweza akawa dume vilevile.
 
Last edited by a moderator:
jaman asanteni kwa mlionikaribisha vizur
na wale mlioponda pia saweni
ila kidogo huku ustarabu upo tutaenda sawa vigezo na mashariti vikizingatiwa
 
Karibu mkuu lkn una masharti mengi mno sasa pm ndo pakupeana maubuyu na wewe hutaki itakuaje .
 
Baada ya kuwa fesibuku kwa muda mrefu nimeamua sasa kujiunga rasmi huku,kule nimeacha mazimaaaa na nimetelekeza akaunti,kumeniboa sana.Naombeni huku mnipokee vizuri ila,

1.Msinitongoze - hii ina wahusu wanaume mimi nina wangu tayari,ukinibuguzi sana nakuchuna mpaka ukome ila hupati kitu kwangu,nimemaliza chichemi tena.

2.Muwe mnanipa ushauri mzuri kama ambavyo ungempa mdogo wako au ndg yako yoyote yule

3.Nasikia huku sijui kuna PM,mimi sizitaki so mambo yote yawe wazi jukwaani

4. Matusi sijui michambo sitaki. hayo ndo yamenifukuza kule FB so na huku mkinizingua nakimbia nabaki wasap tu

5.Mambo ya kutumiana viunga vya uzazi sitaki, ila sijui kama ipo hiyo. kule wasap nimeblok wengi sababu hiyo

6.Napanda urafiki wa kawaida sana na wanaume,unajua wa kawaida eeh basi ndo huo huo!

7.Wadada nawategemea sana sana jamani mi bado mdogo kimawazo

Ni hayo tu kwa leo ila samahani kwa niliyemuzi.

ms*nge ww tengeneza mtandao wako uweke hayo mashalti,kwan kuna mtu kakuita huku,acha kujishaua wewe,f*ck
Vuvula weeee
 
Baada ya kuwa fesibuku kwa muda mrefu nimeamua sasa kujiunga rasmi huku,kule nimeacha mazimaaaa na nimetelekeza akaunti,kumeniboa sana.Naombeni huku mnipokee vizuri ila,

1.Msinitongoze - hii ina wahusu wanaume mimi nina wangu tayari,ukinibuguzi sana nakuchuna mpaka ukome ila hupati kitu kwangu,nimemaliza chichemi tena.

2.Muwe mnanipa ushauri mzuri kama ambavyo ungempa mdogo wako au ndg yako yoyote yule

3.Nasikia huku sijui kuna PM,mimi sizitaki so mambo yote yawe wazi jukwaani

4. Matusi sijui michambo sitaki. hayo ndo yamenifukuza kule FB so na huku mkinizingua nakimbia nabaki wasap tu

5.Mambo ya kutumiana viunga vya uzazi sitaki, ila sijui kama ipo hiyo. kule wasap nimeblok wengi sababu hiyo

6.Napanda urafiki wa kawaida sana na wanaume,unajua wa kawaida eeh basi ndo huo huo!

7.Wadada nawategemea sana sana jamani mi bado mdogo kimawazo

Ni hayo tu kwa leo ila samahani kwa niliyemuzi.

mhh...nakataa wewe sio mgeni hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom