Jamani tuamke (ujumbe kutoka SUA)

WA J

Member
Dec 4, 2009
6
1
Habarini wana jamii
kwa wataalam wa kiswahili mtanisamehe kama habarini si neno sahihi ila ni kuwapa hi tu jamani.

Bandugu, dogo letu moja linasoma chuo kikuu cha kilimo cha sokoine. likamfuata likaka letu lingine huku likilia machozi na kusema, kilasiku huwa linasahau kuleta ujumbe lililopewa kutoka kwa wakufunzi wake huko mji kasoro bahari, leo hii limehukumiwa sana na dhamila ya moyoni mwake maana kila likipiga simu limekuwa likipiga mizinga tu ya mshiko na kudai bumu limechelewa na kusahau ujumbe wa maana sana kwa jamii. Liakajiona limekuwa ni kama nabii mwenye ujumbe muhimu wa kuwaponya watu alafu akasahau na kukumbuka wakati akiwaona watu hao wanaangamia.

Kwa maelezo yake kila mkufunzi akimaliza kile kilichomfanya awe ameajiliwa na chuo, anashusha pumzi na kwa upole sana kama vile anamuelezea jambo kubwa mtoto wa miaka mitano anaanza kueleza juu ya umuhimu wa kumili ardhi ndani ya kitundu chetu cha amanitena kwa haraka iwezekanavyo kwani wao (wakufunzi) kama wataalamu wa ardhi na kilimo wameshilikishwa katika mchakato mkubwa wa siri juu ya haka kaushirika ketu ka wala sato wa ziwa VIKITORIA kwa wakina ngosha. Japo hawawi wazi saaaaaana ila ni kama mchakato umeshakwisha na mkakati unasubiri utekelezaji(MANAKE SIO LAZIMA UONE MIALE YA MOTO KWANI HATA MOSHI UNATOSHA KUKUJULISHA KINACHOENDELEA) na kwa hisia za wengi wa wanazuoni wenzake ni kama vile uchaguzi ndio unaochelewesha,huenda jamaa wanataka kuziepuka hasira za wapiga kura ila ukweli unabaki kuwa kwa swala la Ardhi katika haka kamuungano ketu ka watumia maji ya ziwa VIKI ambao tunamtunishia misuri Farao itakuwa ni sehemu ya haka kaushirika ketu. yani inamaana TUTABANA WEEEE ALAFU KILAIIIINI TUTAACHIA. yani itakuwa HATUTAKI, HATUTAKIII HATUTAAAKIIII HATUTAAAA.......sasa kwa kauvivu ka wengi wa Tanzania, wakiingia jamaa wa katiba mpya na wa kwa yule jamaa aliyedhihilisha kuwa uhakika wa vyakula vingi sio sababu ya kunenepa sijui itakuwa vipi?

Basi bandugu bapenzi aliponijuza likaka letu juu ya ujumbe wa dogo letu toka kisiwa cha mindu huko mji kasoro bahari nikasema "duuu! amakweli MUNGU ni mwema kwangu" mnake japo huwa namkosea kosea sana likini sijui ni kivipi aliniongoza nikahamisika kibinafsi kujikatia japo viheka kumi huko bwagamoyo.Amakweli MUNGU WA AJABU. kilichonivutia mimi Bwagamoyo ni kuwekwa lami kwa njia inayopita maeneo hayo kuelekea akina masawe na shemndolwa kupia msata maana kama mnavotambua bandugu kuwa barabara ya kukatizia upande huo itahama chalinze na kupitia bagamoyo kiwangwa msata alafu mbele kwa mbele baada ya segela. Ili la kubana na mwisho kuachia sikuwa nalo hata. kama kuna mtu ana namba ya simu yule jamaa nani huyuu? aaah, huyu jaaa bwana! huyu aliye mwagwa kura za maoni kule alikopita yule dada wa kuboresha makazi kama yale ya Tandare kutoka kwenye umoja mkubwa jamani naomba anipatie namba yake make yeye si ndo alikuwa nakaa mezani kwa ajili yetu labda anaweza akanipa fununu niwamegee

Bandugu, mimi nadhani nisiwe mchoyo japo wa taarifa tu, tena nikiwataarifu si ndo inakuwa poa tuwe wengi ambao ni wazawa yasije tukuta tena yaleyale ya Canada kuendelea kwa maduka yaliopo posta na kaliakoo kwasabau ma********* wanakaa nyumba za national housing wanakwepa kulipa kodi kijanja kwenye mamlaka yetu ya kutukamua vipato alafu faida yooote wanaipeleka Canada na India, tena kama wale wa kwa brother mwembamba si mnajua walivo na kasi y a kujikusanyia. Bora mimi na wewe ndugu yangu tukipata za kutosha si tunaweza hata kuweka lami kule kwetu kigoma, asa Nakuru ikiendelea mi inansaidia nini?

Sina utaalamu sana wa kilimo na katika makuzi yangu nilikichukia kidoogo kwani ile kuamshwa kila siku asubuhi kwenda shamba na baba, nkasema aaaaagh!!! kilimo mimi cha nini?ngoja nikamue shule mambo yawe mswanu kumbe duuuuu! 50% yote kodi. 30% kabla sijapewa changu na 18% kila ninapo nunua kitu. Ila hivi karibuni mundugu mumoja akanistua aliponieleza hasara za kuweka fedha benki kulingana mfumuko wa bei kuwa kati ya 8-13% kwa mwaka.kwahiyo nikiweka milioni 1 baada ya mwaka inakuwa 870,000/ wakati nikinunua ardhi kwa hiyo milioni 1 baada ya mwaka ianweza kuwa na thamani ya milioni 5. nikaona raha ya kusoma ngwini alafu unakuwa na kaushkaji na wachora makabati. basi nikaona isiwe taabu, kwanza sasahivi baba ndo mimi mwenyewe kwahiyo nikitaka naamka na nisipo taka nalala tuu ataniuliza nani!!!!

Kwa wale ambao tunamsuli wa kuandamana, mimi naona badala ya kuimba tena "solidaliti foreva" pale jangwani au kupita pale feri kwa juu kidogo huku tunaimba"tunatakaaa, ardhi yetuu" huku tunasubiri maji ya kuwasha toka kwa geshi la polishi ni vema tuaandamanie huko kwenye mapori ya ardhi mapemaaa.
Kwa waliopo Morogoro huko ndo kunaneema balaa, ardhi zenye rutuba na bado ni mapori yanayomilikiwa na wazee yapo kibao kuko kilombero, dakawa, mikese na kwingine kwingi. Kwa mlio kanda ya kati nani atabisha kuwa Dodoma imesheheni ardhi nyingi yenye rutuba. Tanga ndo usiseme sijui hata nianzia wapi. Na kwa tuliopo DSM, ni kweli hapa hamna mashamba, lakini hata hapo bagamoyo nauli 1600 tu hakufikiki? upande huo ninaufahamu kidogo kwani hizo kumi ninazolinga nazo nimejisevia huko. nimejishuhudia mwenyewe eneo kuanzia fukayosi kiwangwa hadi msata mapori bwerere yenye rutuba hasa, kiasi kwamba karibu kila kitu (isipokuwa mtu )kikipandwa kinaota. lakini wenyeji waneng'ang'ania mnanasi tuuu kisa ni kwamba yana ustahimilivu wa ajabu kiasi kwamba si rahisi kufa na hata usipo palilia bado utavuna japo kwa kiwango kidogo. basi wenyewe ni kucheza bao na kuendesha pikipiki tuuu wakisuburi msimu wa kuvuna.

Jamani hatakama mtu hutaki kulima kwa msimu si upande miti kama mitiki ambayo itakuwezesha kupata mkopo wa uhakika uendelee kufanya hicho unacho penda,( ohooo!. mshaanza. oooh, mimi sitaki mikopo. hivi huna habari kuwa huyo aliye kuajili na kukulipa mshahara unaoushitakia kila siku kwa TUCTA kuwa ni mdogo yeye mwenyewe amekopa ndo maaana wewe ukapata ajira).AU unaweza ukategeshea bei ipande uuze kwa faida au ukasubili mtu aje aingie ubia na wewe ukawa unaingiza mshikao hatakama upo bafuni unaoga.

Natumaini kuna watu ambao wana nduguzao SUA na wanahizi taarifa toka kwao. na kwa wale ambao mmeguswa na kuamua kukata shauri sintakuwa mchoyo ki hivoo. ngoja nipekuwe kitabu cha orodha za bandugu tuliokuwa nao shule waliopo maeneo niliyataja hapo juu yenye rutuba ili nikizipata namba zao niwasambazie alafu kila mtu kwa wakati wake ajimwage kwenye kilongalonga. kwa bahati nzuri hizi za bagamoyo sijazifuta bado kwani naendelea kupambana niongeze kidooogo manake haka kamsemo ka watu wa benki bwana unaweza pasua viooo vya madirisha ya watoa huduma wao." ndugu, tunapenda kukuhudumia lakini, HUKOPESHEKI"

Haya kwa wabagamoyo 0715 775055 na 0787 775055.
muda si mrefu ntawapatia za morogoro,na Tanga. Kwa ambaye anamtu Dodoma jamani tusaidiane sisi ndo sisi sisi wenyewe, sio lazima wote tuwe Kamugisha au Mwakipalapala ndo mjue tunaundugu jamanii!

"UNAHITAJI ELIMU ILI UWEZE KUISHI.UNAHITAJI KUJUANA(KUSAHIDIWA) NA WATU ILI UWEZE KUFANIKIWA ZAIDI" Robert Kiyosaki"
 
habarini wana jamii
kwa wataalam wa kiswahili mtanisamehe kama habarini si neno sahihi ila ni kuwapa hi tu jamani.

Bandugu, dogo letu moja linasoma chuo kikuu cha kilimo cha sokoine. Likamfuata likaka letu lingine huku likilia machozi na kusema, kilasiku huwa linasahau kuleta ujumbe lililopewa kutoka kwa wakufunzi wake huko mji kasoro bahari, leo hii limehukumiwa sana na dhamila ya moyoni mwake maana kila likipiga simu limekuwa likipiga mizinga tu ya mshiko na kudai bumu limechelewa na kusahau ujumbe wa maana sana kwa jamii. Liakajiona limekuwa ni kama nabii mwenye ujumbe muhimu wa kuwaponya watu alafu akasahau na kukumbuka wakati akiwaona watu hao wanaangamia.

Kwa maelezo yake kila mkufunzi akimaliza kile kilichomfanya awe ameajiliwa na chuo, anashusha pumzi na kwa upole sana kama vile anamuelezea jambo kubwa mtoto wa miaka mitano anaanza kueleza juu ya umuhimu wa kumili ardhi ndani ya kitundu chetu cha amanitena kwa haraka iwezekanavyo kwani wao (wakufunzi) kama wataalamu wa ardhi na kilimo wameshilikishwa katika mchakato mkubwa wa siri juu ya haka kaushirika ketu ka wala sato wa ziwa vikitoria kwa wakina ngosha. Japo hawawi wazi saaaaaana ila ni kama mchakato umeshakwisha na mkakati unasubiri utekelezaji(manake sio lazima uone miale ya moto kwani hata moshi unatosha kukujulisha kinachoendelea) na kwa hisia za wengi wa wanazuoni wenzake ni kama vile uchaguzi ndio unaochelewesha,huenda jamaa wanataka kuziepuka hasira za wapiga kura ila ukweli unabaki kuwa kwa swala la ardhi katika haka kamuungano ketu ka watumia maji ya ziwa viki ambao tunamtunishia misuri farao itakuwa ni sehemu ya haka kaushirika ketu. Yani inamaana tutabana weeee alafu kilaiiiini tutaachia. Yani itakuwa hatutaki, hatutakiii hatutaaakiiii hatutaaaa.......sasa kwa kauvivu ka wengi wa tanzania, wakiingia jamaa wa katiba mpya na wa kwa yule jamaa aliyedhihilisha kuwa uhakika wa vyakula vingi sio sababu ya kunenepa sijui itakuwa vipi?

Basi bandugu bapenzi aliponijuza likaka letu juu ya ujumbe wa dogo letu toka kisiwa cha mindu huko mji kasoro bahari nikasema "duuu! Amakweli mungu ni mwema kwangu" mnake japo huwa namkosea kosea sana likini sijui ni kivipi aliniongoza nikahamisika kibinafsi kujikatia japo viheka kumi huko bwagamoyo.amakweli mungu wa ajabu. Kilichonivutia mimi bwagamoyo ni kuwekwa lami kwa njia inayopita maeneo hayo kuelekea akina masawe na shemndolwa kupia msata maana kama mnavotambua bandugu kuwa barabara ya kukatizia upande huo itahama chalinze na kupitia bagamoyo kiwangwa msata alafu mbele kwa mbele baada ya segela. Ili la kubana na mwisho kuachia sikuwa nalo hata. Kama kuna mtu ana namba ya simu yule jamaa nani huyuu? Aaah, huyu jaaa bwana! Huyu aliye mwagwa kura za maoni kule alikopita yule dada wa kuboresha makazi kama yale ya tandare kutoka kwenye umoja mkubwa jamani naomba anipatie namba yake make yeye si ndo alikuwa nakaa mezani kwa ajili yetu labda anaweza akanipa fununu niwamegee

bandugu, mimi nadhani nisiwe mchoyo japo wa taarifa tu, tena nikiwataarifu si ndo inakuwa poa tuwe wengi ambao ni wazawa yasije tukuta tena yaleyale ya canada kuendelea kwa maduka yaliopo posta na kaliakoo kwasabau ma********* wanakaa nyumba za national housing wanakwepa kulipa kodi kijanja kwenye mamlaka yetu ya kutukamua vipato alafu faida yooote wanaipeleka canada na india, tena kama wale wa kwa brother mwembamba si mnajua walivo na kasi y a kujikusanyia. Bora mimi na wewe ndugu yangu tukipata za kutosha si tunaweza hata kuweka lami kule kwetu kigoma, asa nakuru ikiendelea mi inansaidia nini?

Sina utaalamu sana wa kilimo na katika makuzi yangu nilikichukia kidoogo kwani ile kuamshwa kila siku asubuhi kwenda shamba na baba, nkasema aaaaagh!!! Kilimo mimi cha nini?ngoja nikamue shule mambo yawe mswanu kumbe duuuuu! 50% yote kodi. 30% kabla sijapewa changu na 18% kila ninapo nunua kitu. Ila hivi karibuni mundugu mumoja akanistua aliponieleza hasara za kuweka fedha benki kulingana mfumuko wa bei kuwa kati ya 8-13% kwa mwaka.kwahiyo nikiweka milioni 1 baada ya mwaka inakuwa 870,000/ wakati nikinunua ardhi kwa hiyo milioni 1 baada ya mwaka ianweza kuwa na thamani ya milioni 5. Nikaona raha ya kusoma ngwini alafu unakuwa na kaushkaji na wachora makabati. Basi nikaona isiwe taabu, kwanza sasahivi baba ndo mimi mwenyewe kwahiyo nikitaka naamka na nisipo taka nalala tuu ataniuliza nani!!!!

Kwa wale ambao tunamsuli wa kuandamana, mimi naona badala ya kuimba tena "solidaliti foreva" pale jangwani au kupita pale feri kwa juu kidogo huku tunaimba"tunatakaaa, ardhi yetuu" huku tunasubiri maji ya kuwasha toka kwa geshi la polishi ni vema tuaandamanie huko kwenye mapori ya ardhi mapemaaa.
Kwa waliopo morogoro huko ndo kunaneema balaa, ardhi zenye rutuba na bado ni mapori yanayomilikiwa na wazee yapo kibao kuko kilombero, dakawa, mikese na kwingine kwingi. Kwa mlio kanda ya kati nani atabisha kuwa dodoma imesheheni ardhi nyingi yenye rutuba. Tanga ndo usiseme sijui hata nianzia wapi. Na kwa tuliopo dsm, ni kweli hapa hamna mashamba, lakini hata hapo bagamoyo nauli 1600 tu hakufikiki? Upande huo ninaufahamu kidogo kwani hizo kumi ninazolinga nazo nimejisevia huko. Nimejishuhudia mwenyewe eneo kuanzia fukayosi kiwangwa hadi msata mapori bwerere yenye rutuba hasa, kiasi kwamba karibu kila kitu (isipokuwa mtu )kikipandwa kinaota. Lakini wenyeji waneng'ang'ania mnanasi tuuu kisa ni kwamba yana ustahimilivu wa ajabu kiasi kwamba si rahisi kufa na hata usipo palilia bado utavuna japo kwa kiwango kidogo. Basi wenyewe ni kucheza bao na kuendesha pikipiki tuuu wakisuburi msimu wa kuvuna.

Jamani hatakama mtu hutaki kulima kwa msimu si upande miti kama mitiki ambayo itakuwezesha kupata mkopo wa uhakika uendelee kufanya hicho unacho penda,( ohooo!. Mshaanza. Oooh, mimi sitaki mikopo. Hivi huna habari kuwa huyo aliye kuajili na kukulipa mshahara unaoushitakia kila siku kwa tucta kuwa ni mdogo yeye mwenyewe amekopa ndo maaana wewe ukapata ajira).au unaweza ukategeshea bei ipande uuze kwa faida au ukasubili mtu aje aingie ubia na wewe ukawa unaingiza mshikao hatakama upo bafuni unaoga.

Natumaini kuna watu ambao wana nduguzao sua na wanahizi taarifa toka kwao. Na kwa wale ambao mmeguswa na kuamua kukata shauri sintakuwa mchoyo ki hivoo. Ngoja nipekuwe kitabu cha orodha za bandugu tuliokuwa nao shule waliopo maeneo niliyataja hapo juu yenye rutuba ili nikizipata namba zao niwasambazie alafu kila mtu kwa wakati wake ajimwage kwenye kilongalonga. Kwa bahati nzuri hizi za bagamoyo sijazifuta bado kwani naendelea kupambana niongeze kidooogo manake haka kamsemo ka watu wa benki bwana unaweza pasua viooo vya madirisha ya watoa huduma wao." ndugu, tunapenda kukuhudumia lakini, hukopesheki"

haya kwa wabagamoyo 0715 775055 na 0787 775055.
Muda si mrefu ntawapatia za morogoro,na tanga. Kwa ambaye anamtu dodoma jamani tusaidiane sisi ndo sisi sisi wenyewe, sio lazima wote tuwe kamugisha au mwakipalapala ndo mjue tunaundugu jamanii!

"unahitaji elimu ili uweze kuishi.unahitaji kujuana(kusahidiwa) na watu ili uweze kufanikiwa zaidi" robert kiyosaki"

thanx.
Hii imetulia mkuu
 
Mkuu hii information ni safi. Mimi niko interested na ulimaji wa mashamba makubwa ya nafaka kwa kutumia matracta, na ndioo naweza kupata ardhi. Naomba ushauri kidogo namna wa kupata mkopo wa kulima bila kuwa na dhamana ya nyumba!
 
Swafiiiiii kijana. hiyo imekaa njema. usisahau pia kuchimba kisima cha kumwagilia maji kwani waweza kuwa unavuna mazao mara 3 au zaidi katika mwaka hasa katika maeneo yenye kuotesha vitu vingi kama bagamoyo.

Mimi pia nipo katika mchakato huo. baada ya kununua nimepita katika taasisi za fedha na nikagundua kuwa kuna TOO DAMN BEST DEAL pale Tanzania Investiment Bank. kunamfuko wa kilimo kwanza na wanatoa mkopo mpaka usiopungua 50 Millions kama dau la chini

1.Unacho hitaji ni kusajiri kampuni
2.kuwa na hati ya shamba na
3. mchanganuo wa biashara.(business plan)

unaweza ukatembelea ofisi zao zilizopo samora na mlimani city. na kama unaweza fanya mambo mapema kabla ya uchaguzi

Binafsi nafanya mpango wa kupata hati ya hiloshamba nilililonunua. nadhani sometime this week ntaenda na wataalamu wa kupima nafanya mitikasi za kuchomoka ofisini

Na nishaenda BRELA kujua taratibu za kufungua kampuni binafsi zinakuwaje. yani huwezi ukaamini ni buku sita tu. yani ukienda steers hata mlo mmoja wa mchana hazitoshi.

Na kuhusu matrekta nlipita mfuko wa pembejeo jamaa wazushi wanataka uwe na kuanzia heka 50 ndo wakupe mkopo. Ila kama unamtu UK kati ya million 10 na 15 unapata trekta used na vifaa vyake wakatii hapa ni kati ya million 35 na 50 na nyingi ni za kutoka china na india na some pakistani. kama vipi jitose kwa malkia mtu wangu ni kama $ 1500 tu ktk kiwango cha juu.

Pamoja sana. lets share infos incase ukipata any good news mtu wangu
 
Poa WAJ, vipi kuhusu longolongo za kusajili ardhi? je zina usumbufu kama za kupata hati ya nyumba DSM! Ni kweli Matracta naweza kupata UK ni bei poa sana, ukitumia mtandao wa Auto Trader UK - Buy & Sell New & Used Cars, Car Loans, Car Insurance unapata deals nzuri sana na pia unaweza kununulia ukiwa hapahapa bongo. Pia unaweza kununua kwenye minada yao lakini inabi usafiri.

Kwa Bagamoyo ni sehemu gani nzuri kufanyia kilimo cha umwagiliaji, nimefanya maombi ya kununua power tiller kwa hawa jamaa wa pembejeo ni matumaini naweza kupata kama hawana longolongo. Nimeshauriwa KUBOTA power tiller ni safi sana kiumwagiliaji. Pia nitatembelea mahenge Morogoro na Kilindi Tanga kuangalia uwezekano wa kupata mashamba makubwa.

Tuko pamoja
 
realtor nakushukuru sana ndugu. kwa bagamoyo anzia fukayosi mpaka kiwangwa yoye hile imekaa njema sana.mimi nipo fukayosi na jamaa wamechimba mita 2 tu wanchota maji ya kisima. pia hii ni moja wapo ya vigezo vya kupatia mkopo TIB. Lakini usinunue eneo lolote mara tu baada ya mto ruvu manake tayari kunawenyewe maeneo yote yale.baadhi wamewekampaka fensi za waya. yani kama kenya vile. Ili kuepuka longolongo mcheki yule jamaa niliyeandika namba zake. atakusaidia pia kwa ishu ya kusajiri na haina longolongo kihivoo kwasababu ofisi ipo ya usajiri ipo bagamoyo huko huko opposite bomani pale kama huwa unafanya utalii wa ndani kushot kidoogo kama unaelekea chuo cha sanaa au millenium hotel

umesomeka kaka hapa nacheki huo mtandao wa matrekta ulio nipa.

kwa hekali 10, au 15 KUBOTA imekaa njema ila kuanzia mia hivi inakuwa ni adhabu coz unalima hekali 5 tu kwa siku kama sikosei. ila kwa trekta wangu ni bora ulifuate mwenyewe ukiokoa milioni 30 usawa huu mtu wangu si unacheka vizuri tuu, na asikudanganye mtu. trekta lamiaka 50 iliyopita hilo ni jipyaaaaaaa kabisa hasahasa MF make Valment spea bei juu na Ford ndo kabisaa bora umiliki scania lori
 
Safi sana kumbe tuna watu wanaelewa cha kufanya,sasa njaa mbona inatumaliza bado huku misitu,mikopo,maji,labour etc vipo tele?
 
Ni kweli unachosema Koba, misitu na facilities kibao. ishu huwa katika information na utekelezaji wa mipango. mtu mmoja anaitwa Les Brown alisema. utajiri mwingi upo makaburini. kwa sababu watu walikuwa na mawazo mazuri sana lya maendeleo lakini wamekufanayo kwa sababu hawakuyatendea kazi ili yaonekane kwa nje na hawajamshirikisha mtu mwingine yeyote si kwa maandishi wala maneno ya mdomo.

Wakati mwingine watu wanajua cha kufanya ila tatizo wanaogopa kuondoka katika maeneo yao ya usalama. kwa mfano.m tu ameajiriwa na nalipwa laki 5. anajua kunakitu anaweza akafanya na kupata milioni kwa mwezi, lakini anaogopa kuingia katika hilo kwa hofu ya nini kitatokea kama haitakuwa kama alivo waza yeye.

Mtu mmoja anaitwa Vasco Dagama alisema. "Kama huna ujasiri wa kuiacha pwani,huwezi kugundua bahari nyinginezo. anamaanisha ni lazima utoke pwani. uingie baharini na uivuke ndipo unajua kuwa kumbe mbali ya bahari ya hindi kumbe kuna hata mediteranean. vinginevyo utakaa pwani na kujua kuwa bahari ni hindi peke yake. kwa uhalisia ni kwamba ukiogopa kuvuka feri huwezi kujua yanayojiri kigamboni

Tuchukue hatua jamani, sio kazi ya kunyooshea vidole waliokwisha chukua hatua na kufanikiwa kwa kuwahisi kuwa labda wapo katika mtandao wa ufisadi. Mungu yupo na kilakitu kinawezekana.
 
Kweli don't judge a book by it's cover...hii habari ukisoma mwanzo unaweza kuona ni upuuzi lakini ukiendelea unapata ujumbe mahsusi kabisa tena with flavour.
 
Habarini wana jamii
kwa wataalam wa kiswahili mtanisamehe kama habarini si neno sahihi ila ni kuwapa hi tu jamani.

Bandugu, dogo letu moja linasoma chuo kikuu cha kilimo cha sokoine. likamfuata likaka letu lingine huku likilia machozi na kusema, kilasiku huwa linasahau kuleta ujumbe lililopewa kutoka kwa wakufunzi wake huko mji kasoro bahari, leo hii limehukumiwa sana na dhamila ya moyoni mwake maana kila likipiga simu limekuwa likipiga mizinga tu ya mshiko na kudai bumu limechelewa na kusahau ujumbe wa maana sana kwa jamii. Liakajiona limekuwa ni kama nabii mwenye ujumbe muhimu wa kuwaponya watu alafu akasahau na kukumbuka wakati akiwaona watu hao wanaangamia.

Kwa maelezo yake kila mkufunzi akimaliza kile kilichomfanya awe ameajiliwa na chuo, anashusha pumzi na kwa upole sana kama vile anamuelezea jambo kubwa mtoto wa miaka mitano anaanza kueleza juu ya umuhimu wa kumili ardhi ndani ya kitundu chetu cha amanitena kwa haraka iwezekanavyo kwani wao (wakufunzi) kama wataalamu wa ardhi na kilimo wameshilikishwa katika mchakato mkubwa wa siri juu ya haka kaushirika ketu ka wala sato wa ziwa VIKITORIA kwa wakina ngosha. Japo hawawi wazi saaaaaana ila ni kama mchakato umeshakwisha na mkakati unasubiri utekelezaji(MANAKE SIO LAZIMA UONE MIALE YA MOTO KWANI HATA MOSHI UNATOSHA KUKUJULISHA KINACHOENDELEA) na kwa hisia za wengi wa wanazuoni wenzake ni kama vile uchaguzi ndio unaochelewesha,huenda jamaa wanataka kuziepuka hasira za wapiga kura ila ukweli unabaki kuwa kwa swala la Ardhi katika haka kamuungano ketu ka watumia maji ya ziwa VIKI ambao tunamtunishia misuri Farao itakuwa ni sehemu ya haka kaushirika ketu. yani inamaana TUTABANA WEEEE ALAFU KILAIIIINI TUTAACHIA. yani itakuwa HATUTAKI, HATUTAKIII HATUTAAAKIIII HATUTAAAA.......sasa kwa kauvivu ka wengi wa Tanzania, wakiingia jamaa wa katiba mpya na wa kwa yule jamaa aliyedhihilisha kuwa uhakika wa vyakula vingi sio sababu ya kunenepa sijui itakuwa vipi?

Basi bandugu bapenzi aliponijuza likaka letu juu ya ujumbe wa dogo letu toka kisiwa cha mindu huko mji kasoro bahari nikasema "duuu! amakweli MUNGU ni mwema kwangu" mnake japo huwa namkosea kosea sana likini sijui ni kivipi aliniongoza nikahamisika kibinafsi kujikatia japo viheka kumi huko bwagamoyo.Amakweli MUNGU WA AJABU. kilichonivutia mimi Bwagamoyo ni kuwekwa lami kwa njia inayopita maeneo hayo kuelekea akina masawe na shemndolwa kupia msata maana kama mnavotambua bandugu kuwa barabara ya kukatizia upande huo itahama chalinze na kupitia bagamoyo kiwangwa msata alafu mbele kwa mbele baada ya segela. Ili la kubana na mwisho kuachia sikuwa nalo hata. kama kuna mtu ana namba ya simu yule jamaa nani huyuu? aaah, huyu jaaa bwana! huyu aliye mwagwa kura za maoni kule alikopita yule dada wa kuboresha makazi kama yale ya Tandare kutoka kwenye umoja mkubwa jamani naomba anipatie namba yake make yeye si ndo alikuwa nakaa mezani kwa ajili yetu labda anaweza akanipa fununu niwamegee

Bandugu, mimi nadhani nisiwe mchoyo japo wa taarifa tu, tena nikiwataarifu si ndo inakuwa poa tuwe wengi ambao ni wazawa yasije tukuta tena yaleyale ya Canada kuendelea kwa maduka yaliopo posta na kaliakoo kwasabau ma********* wanakaa nyumba za national housing wanakwepa kulipa kodi kijanja kwenye mamlaka yetu ya kutukamua vipato alafu faida yooote wanaipeleka Canada na India, tena kama wale wa kwa brother mwembamba si mnajua walivo na kasi y a kujikusanyia. Bora mimi na wewe ndugu yangu tukipata za kutosha si tunaweza hata kuweka lami kule kwetu kigoma, asa Nakuru ikiendelea mi inansaidia nini?

Sina utaalamu sana wa kilimo na katika makuzi yangu nilikichukia kidoogo kwani ile kuamshwa kila siku asubuhi kwenda shamba na baba, nkasema aaaaagh!!! kilimo mimi cha nini?ngoja nikamue shule mambo yawe mswanu kumbe duuuuu! 50% yote kodi. 30% kabla sijapewa changu na 18% kila ninapo nunua kitu. Ila hivi karibuni mundugu mumoja akanistua aliponieleza hasara za kuweka fedha benki kulingana mfumuko wa bei kuwa kati ya 8-13% kwa mwaka.kwahiyo nikiweka milioni 1 baada ya mwaka inakuwa 870,000/ wakati nikinunua ardhi kwa hiyo milioni 1 baada ya mwaka ianweza kuwa na thamani ya milioni 5. nikaona raha ya kusoma ngwini alafu unakuwa na kaushkaji na wachora makabati. basi nikaona isiwe taabu, kwanza sasahivi baba ndo mimi mwenyewe kwahiyo nikitaka naamka na nisipo taka nalala tuu ataniuliza nani!!!!

Kwa wale ambao tunamsuli wa kuandamana, mimi naona badala ya kuimba tena "solidaliti foreva" pale jangwani au kupita pale feri kwa juu kidogo huku tunaimba"tunatakaaa, ardhi yetuu" huku tunasubiri maji ya kuwasha toka kwa geshi la polishi ni vema tuaandamanie huko kwenye mapori ya ardhi mapemaaa.
Kwa waliopo Morogoro huko ndo kunaneema balaa, ardhi zenye rutuba na bado ni mapori yanayomilikiwa na wazee yapo kibao kuko kilombero, dakawa, mikese na kwingine kwingi. Kwa mlio kanda ya kati nani atabisha kuwa Dodoma imesheheni ardhi nyingi yenye rutuba. Tanga ndo usiseme sijui hata nianzia wapi. Na kwa tuliopo DSM, ni kweli hapa hamna mashamba, lakini hata hapo bagamoyo nauli 1600 tu hakufikiki? upande huo ninaufahamu kidogo kwani hizo kumi ninazolinga nazo nimejisevia huko. nimejishuhudia mwenyewe eneo kuanzia fukayosi kiwangwa hadi msata mapori bwerere yenye rutuba hasa, kiasi kwamba karibu kila kitu (isipokuwa mtu )kikipandwa kinaota. lakini wenyeji waneng'ang'ania mnanasi tuuu kisa ni kwamba yana ustahimilivu wa ajabu kiasi kwamba si rahisi kufa na hata usipo palilia bado utavuna japo kwa kiwango kidogo. basi wenyewe ni kucheza bao na kuendesha pikipiki tuuu wakisuburi msimu wa kuvuna.

Jamani hatakama mtu hutaki kulima kwa msimu si upande miti kama mitiki ambayo itakuwezesha kupata mkopo wa uhakika uendelee kufanya hicho unacho penda,( ohooo!. mshaanza. oooh, mimi sitaki mikopo. hivi huna habari kuwa huyo aliye kuajili na kukulipa mshahara unaoushitakia kila siku kwa TUCTA kuwa ni mdogo yeye mwenyewe amekopa ndo maaana wewe ukapata ajira).AU unaweza ukategeshea bei ipande uuze kwa faida au ukasubili mtu aje aingie ubia na wewe ukawa unaingiza mshikao hatakama upo bafuni unaoga.

Natumaini kuna watu ambao wana nduguzao SUA na wanahizi taarifa toka kwao. na kwa wale ambao mmeguswa na kuamua kukata shauri sintakuwa mchoyo ki hivoo. ngoja nipekuwe kitabu cha orodha za bandugu tuliokuwa nao shule waliopo maeneo niliyataja hapo juu yenye rutuba ili nikizipata namba zao niwasambazie alafu kila mtu kwa wakati wake ajimwage kwenye kilongalonga. kwa bahati nzuri hizi za bagamoyo sijazifuta bado kwani naendelea kupambana niongeze kidooogo manake haka kamsemo ka watu wa benki bwana unaweza pasua viooo vya madirisha ya watoa huduma wao." ndugu, tunapenda kukuhudumia lakini, HUKOPESHEKI"

Haya kwa wabagamoyo 0715 775055 na 0787 775055.
muda si mrefu ntawapatia za morogoro,na Tanga. Kwa ambaye anamtu Dodoma jamani tusaidiane sisi ndo sisi sisi wenyewe, sio lazima wote tuwe Kamugisha au Mwakipalapala ndo mjue tunaundugu jamanii!

"UNAHITAJI ELIMU ILI UWEZE KUISHI.UNAHITAJI KUJUANA(KUSAHIDIWA) NA WATU ILI UWEZE KUFANIKIWA ZAIDI" Robert Kiyosaki"

washtuka leo...?!
 
Swafiiiiii kijana. hiyo imekaa njema. usisahau pia kuchimba kisima cha kumwagilia maji kwani waweza kuwa unavuna mazao mara 3 au zaidi katika mwaka hasa katika maeneo yenye kuotesha vitu vingi kama bagamoyo.

Mimi pia nipo katika mchakato huo. baada ya kununua nimepita katika taasisi za fedha na nikagundua kuwa kuna TOO DAMN BEST DEAL pale Tanzania Investiment Bank. kunamfuko wa kilimo kwanza na wanatoa mkopo mpaka usiopungua 50 Millions kama dau la chini

1.Unacho hitaji ni kusajiri kampuni
2.kuwa na hati ya shamba na
3. mchanganuo wa biashara.(business plan)

unaweza ukatembelea ofisi zao zilizopo samora na mlimani city. na kama unaweza fanya mambo mapema kabla ya uchaguzi

Binafsi nafanya mpango wa kupata hati ya hiloshamba nilililonunua. nadhani sometime this week ntaenda na wataalamu wa kupima nafanya mitikasi za kuchomoka ofisini

Na nishaenda BRELA kujua taratibu za kufungua kampuni binafsi zinakuwaje. yani huwezi ukaamini ni buku sita tu. yani ukienda steers hata mlo mmoja wa mchana hazitoshi.

Na kuhusu matrekta nlipita mfuko wa pembejeo jamaa wazushi wanataka uwe na kuanzia heka 50 ndo wakupe mkopo. Ila kama unamtu UK kati ya million 10 na 15 unapata trekta used na vifaa vyake wakatii hapa ni kati ya million 35 na 50 na nyingi ni za kutoka china na india na some pakistani. kama vipi jitose kwa malkia mtu wangu ni kama $ 1500 tu ktk kiwango cha juu.

Pamoja sana. lets share infos incase ukipata any good news mtu wangu

WAJ na wengineo mnaofahamu please help kwenye hili. Kama nilivyobold hapo kwenye BRELA na kusajili kampuni, mimi nina mashamba yangu maeneo kadhaa. Mungu bariki na hao jamaa waliosajiri Kagoda nimekwishamalizana nao meaning niko na business name tayari. Hati za mashamba ziko jikoni soon zitatoka. Leo nimeenda wilayani kwa ajili ya leseni nikaambiwa hakuna leseni ya kilimo leseni liliyopo ni kuuza mazao tu kulima hakuhitaji leseni unahitaji leseni kuuza agricultural products. Is this true? If not hizo leseni za kilimo zinatolewa wapi? Na je huko say TIB na kwingineko kwa ajili ya loan facilities mbali ya hati za shamba na business name wanahitaji pia leseni?
 
Yap Bobby

ebwana nakusalute kwa mikono yote miwili. yaani hiyo imekaa njema saaaan. upo hatua kadhaa mbele. mimi naendelea kulifanyia kazi hilo swala lako. ila kuhusu leseni nadhani nivyema ukawacheki watu wa TRA kwa maana hapo inakuwa ni ki biashara zaidi. kuhusu TIB sizani kama wanahitaji leseni ila itafaa sana kama utapata japo TIN number. ila Business Plan ni lazima.

TUENDELEE KUWASILIANA NA UKIFANIKIWA TUTAARIFIANE.MWENZETU UPO MBALI ZAIDI.
 
Kilimo kinalipa sana hasa ukifanya kwa large scale specializing on product differentiation and value addition.

Sio kulima na kupeleka sokoni, tafuta any means necessary ku-add value kwenye ur produce with international standard quality.

Utapata tenda supermarket.

Kuna research nafanya kuhusu vitunguu, nikimaliza. Ni boom
 
Back
Top Bottom