JAMANI: Hivi Zitto Zuberi mwana wa Kabwe yuko wapi?

Status
Not open for further replies.

Mzee wa ngano

Senior Member
Joined
May 3, 2012
Posts
184
Reaction score
55
Moja ya sifa kuu za wabunge wa CDM ni umaarufu, na umaarufu wao huupata kwakuwa huongea sana bungeni na kwa kiasi kikubwa hoja zao huwakosha sana wananchi wa nchi hii.

Mmoja wa watu niliozoea kuwaona wakipambana ili kuweka mambo sawa ni huyu jamaa wa Kigoma akiitwa kwa jina la Zitto. Ninachoshangaa ni kuwa simsikii tena tangu bunge la katiba lianze. Simsikii akiongea wala simuoni akimulikwa na makamera ili hata tumuone tu kama yupo.

Hivi huyu mtu yupo hayupo? Kama hayupo yuko wapi? Na kama yupo mbona kalowa hivyo? Anakuwa kama Augustino Mrema?
 
Zitto amefunikwa sana na kina mnyika,lissu, na hata nasari! Inaonekana amevunjika sana moyo!
 
The guy underestimated the power of his "enemies" .... he is now paying the price. Never underestimate the power of your enemies ... never ... ever.
 
Zitto amehamishia siasa kortini inayohold ubunge wake.So far jamaa amekwisha kisiasa..jana kupitia ofisi yake kuu yaTWITTER aliwaita wajumbe wa bunge la katiba WA.PUUZI
 
Moja ya sifa kuu za wabunge wa CDM ni umaarufu, na umaarufu wao huupata kwakuwa huongea sana bungeni na kwa kiasi kikubwa hoja zao huwakosha sana wananchi wa nchi hii.

Mmoja wa watu niliozoea kuwaona wakipambana ili kuweka mambo sawa ni huyu jamaa wa Kigoma akiitwa kwa jina la Zitto. Ninachoshangaa ni kuwa simsikii tena tangu bunge la katiba lianze. Simsikii akiongea wala simuoni akimulikwa na makamera ili hata tumuone tu kama yupo.

Hivi huyu mtu yupo hayupo? Kama hayupo yuko wapi? Na kama yupo mbona kalowa hivyo? Anakuwa kama Augustino Mrema?

Ni mwanasiasa anayetumia akili sana huwez kumfananisha na hao vilaza... situation aliyomo hivi sasa si lazima umsikie...
Hv sasa yupo ki mkakati zaidi ndani na nje ya chama hivyo usitaraji kumsikia akiongea sana.
Kaka usifikiri siasa muda wate ni kukaa unapiga kelele....

Zito ni mwanasiasa(si wakati wote hupinga), hao uliowataja ni wapinzani.(wanachokijua ni kupinga wakati wote).
Hivyo usimfananishe nao make wametofautiana sana.
 
yule dogo sio mropokaji kama akina lissu lema na msigwa na akina sugu ndio mana humsikii ovyo ovyo
 
kwa ni vp?.hapatikani hata facebook?(ofisi yake ndogo ya ubunge wa mahakama).
 
Yupo bungeni anakaa pamoja na pro.lipumba. Km binadamu lazima awe na aibu kwa aliyoyafanya siku chache zilizopita. Hata ubunge wake wa mahakama unamnyima uhuru wa kuchangia hoja. Siku hizi kazi zake anafanyia facebook na twiter.
 
Ni mwanasiasa anayetumia akili sana huwez kumfananisha na hao vilaza... situation aliyomo hivi sasa si lazima umsikie...
Hv sasa yupo ki mkakati zaidi ndani na nje ya chama hivyo usitaraji kumsikia akiongea sana.
Kaka usifikiri siasa muda wate ni kukaa unapiga kelele....

Zito ni mwanasiasa(si wakati wote hupinga), hao uliowataja ni wapinzani.(wanachokijua ni kupinga wakati wote).
Hivyo usimfananishe nao make wametofautiana sana.

mkuu,pale wajumbe wanatengeneza kanuni.nani anapinga wakati wote pale?sasa akikuta sheria za ovyo ovyo atatoaje hizo hoja zake makini?sasa hapo wewe ndo una tatitizo la kupinga wakati wote.hoja hii ni ya msingi.
 
Moja ya sifa kuu za wabunge wa CDM ni umaarufu, na umaarufu wao huupata kwakuwa huongea sana bungeni na kwa kiasi kikubwa hoja zao huwakosha sana wananchi wa nchi hii.

Mmoja wa watu niliozoea kuwaona wakipambana ili kuweka mambo sawa ni huyu jamaa wa Kigoma akiitwa kwa jina la Zitto. Ninachoshangaa ni kuwa simsikii tena tangu bunge la katiba lianze. Simsikii akiongea wala simuoni akimulikwa na makamera ili hata tumuone tu kama yupo.

Hivi huyu mtu yupo hayupo? Kama hayupo yuko wapi? Na kama yupo mbona kalowa hivyo? Anakuwa kama Augustino Mrema?

Umeanza vibaya. lakini mwisho nakubaliana na wewe.
 
Kuna watu wasipolitaja taja jina la ZZT, hujisikia kuwashwa hadi wamtaje tuu roho zao zitulie!.

Kuna wajinga wajinga fulani wasiojua wanadhani haya mabishano yanayoendelea kwenye bunge maalum ni vikao vya bunge maalum vimeanza!. No way!, vikao vya bunge maalum kujadili katiba havijaanza!, hiki kinachoendelea ni "semina tuu!"
"men of integrity!" wamejituliza kimya tuu, hawana sababu ya kupigishana kelele kwenye semina, warsha na makongamano!, wao wataibuka kwenye real thing na hoja zenye mashiko!. Jee mmeishamsikia Prof. Abdalah Safari?. Kila siku yupo namuona ni mwanasheria aliyebobea na yet amejinyamazia tuu!.
Kuna watu wana kimbembelembele tuu kuongea sana, ila wanamwaga pumba tuu!, na kuna watu kwa kutoongea huko ndiko busara zao zilikolalia!.
Pasco.
 
anatafuta sumu baada ya kuona Mnyika na Lisu wanakimbiza,kama unategemea ndumba kwny siasa mwisho wako mbaya
 
Ni mwanasiasa anayetumia akili sana huwez kumfananisha na hao vilaza... situation aliyomo hivi sasa si lazima umsikie...
Hv sasa yupo ki mkakati zaidi ndani na nje ya chama hivyo usitaraji kumsikia akiongea sana.
Kaka usifikiri siasa muda wate ni kukaa unapiga kelele....

Zito ni mwanasiasa(si wakati wote hupinga), hao uliowataja ni wapinzani.(wanachokijua ni kupinga wakati wote).
Hivyo usimfananishe nao make wametofautiana sana.

Chukua like kwanza.,then watu wanashindwa kuelewa kulopoka na kutoa hoja.. huwezi kumlinganisha mnyika na Zitto..Zitto akisimama anatoa kitu chenye mashiko..
 
mwambieni ajiuwe ili kupata attention
 
Chukua like kwanza.,then watu wanashindwa kuelewa kulopoka na kutoa hoja.. huwezi kumlinganisha mnyika na Zitto..Zitto akisimama anatoa kitu chenye mashiko..
Zitto amekwisha kisiasa
 
Ni mwanasiasa anayetumia akili sana huwez kumfananisha na hao vilaza... situation aliyomo hivi sasa si lazima umsikie...
Hv sasa yupo ki mkakati zaidi ndani na nje ya chama hivyo usitaraji kumsikia akiongea sana.
Kaka usifikiri siasa muda wate ni kukaa unapiga kelele....

Zito ni mwanasiasa(si wakati wote hupinga), hao uliowataja ni wapinzani.(wanachokijua ni kupinga wakati wote).
Hivyo usimfananishe nao make wametofautiana sana.

Sure siasa Lazma utulize akili kupata ufumbuzi sio kuimba mipasho.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom