Jamani, hivi popo bawa ni stori tu ama ukweli?

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
3,511
3,477
Jamani naomba kujuzwa, hivi tetesi za uwepo wa kiumbe kiitwacho popobawa huwa ni ukweli? Naomba tuambizane na hata kama kuna mtu kesha "popobawiwa" afunguke atupe taarifa kamili!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Vipi tena mbona umemulizia huyo kiumbe usiki wa manane au umeshtuka usingizini ukajikuta haupo vizuri unataka kupata uhakika kama ndio mwenyewe kafanya mambo.Kula kwa vingi kitimoto hatarudia
 
Vipi tena mbona umemulizia huyo kiumbe usiki wa manane au umeshtuka usingizini ukajikuta haupo vizuri unataka kupata uhakika kama ndio mwenyewe kafanya mambo.Kula kwa vingi kitimoto hatarudia

Hapana mrelai hata kama yupo kweli wala hawezi kuniona make atapambana vikali na malaika mlinzi wangu! Vipi bwana kitimoto ni repelant kwa huyu kiumbe? Funguka kaka!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ni kweli huyu popobawa huwa yupo lakini saana kule Zenji tena wakati wa uchaguzi mkuu wa viongozi wa kisiasa.Ukitaka kuthibitisha ukweli huu we neda tu Zenji wakati wa uchaguzi mwaka 2015 halafu ushabikie CCM.
 
duh, huyo shetani ana bifu na mashetani wenzie wa ccm?duh...........!!!!!
 
ha ha ha haaaa!. jiandae muuza ubuyu kwani ucku wa tar 5/10/2012 ntakutembelea hpo ulipo nami ntakujuza asili yangu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom