Mimi napata tabu sana kupata majibu sahihi kwa kumuona kila mahari palipo na mikusanyiko ya watanzania Mhe. Edward Lowasa hata ambapo mimi sioni kama anatakiwa awepo na kupewa fursa ya kuongea. Je kuna mtu mkubwa nchi hii anampa shavu la kuongea kila penye mkusanyiko? Mfano katika misiba mikubwa na sherehe za kitaifa. Naombeni msaada wenu nipate kujua suala hili.
Unafikiri kwa kuwa wewe unamchukia unadhani kila mtu anamchukia kiasi hicho. Kwa taarifa yako Lowassa ni waziri mkuu aliyejiuzulu, ni waziri wa miaka mingi katika URT hata Nyerere alikufa akiwa anajua kuwa siku moja huyu mtu anaweza kuwa Rais, vile vile ni mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya Ulinzi na usalama wako. Acha kufata mkumbo za kuambiwa changanya na zakwako.
Kwa taarifa yako tangu serikali yako imtenge imeishiwa fedha mana mishahara ya kukulisha we na familia yako walikuwa wanakopa kwake na kwa RA. Fuatilia taarifa za TRA wamevuka malengo lkn serikali haina fedha, huwezi kujiuliza?

Kama fisadi mkuu Lowasa atakuwa rais wa tanzania, itabidi niombe uraia Burundi. Sitakuwa tayari kuiona nchi yangu ikiendelea kuwa mikononi mwa manyang'au na mimi nikiendelea kuwa raia!Upende usipende Hon. Edward N. Lowassa ndiye rais wa JMT 2015.
unamawazo mafupi, be critical guy. Usiwe mvivu wa kufikiri na kuchanganua