tumiakichwa
Member
- Jan 26, 2014
- 44
- 10
- Thread starter
- #21
We jamaa hujajua 2 yaani huyo dada hakupendi ila inaonesha kuna vitu huwa unampa ndi maana hataki sema hakupendi coz akikwambia utasitisha vihuduma na ndo maana ukipotezea na ukija rudi tena anakushadadia soo huo ndo ukweli. Na mi nnachoamini kama angekupenda swaga z nothing angefall tena mara mbili zaidi ya umpendavyo.
kwanza huwa hapend hata kupewa vitu na ndio maana kabla ya kupata hisia ya kumpa chochote huwa najaribu sana kupata feedback ya kile ninachokusudia kumpa kama yuko willing au la